CLOUDS 360 kupitia CLOUDS TV ovyo

nexus white

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
210
81
Hawa watangazaji wanakera sana tena sana, hawana utaalamu wowote wa kujadili hoja zaidi ya majungu na fitina tu, hivi TCRA wana kazi gani? kuna watangazaji wanne katika kipindi hicho. Tukianza na yule mwanaume ambaye ndo anajidai msemaji sana hana weledi wala busara kwani anaongea kwa ubaguzi na kejeli hasa kama wanajadili UPINZANI katika siasa, kale kabinti nako ni chombeza time tu, wa tatu yule mwanamama anayesoma magazeti yeye ndo kabisa ovyoo katika usomaji wa magazeti na wa mwisho ni kijana wa habari za michezo yeye nusu kwa nusu.....mbadilike kwani sisis tunawachora na kuwaona wa ajabu tu
 
Wewe mwnyw mtoa mada hujielewi, ss km hupendi kipindi chao bado unawafuatilia tuondolee unafiki wako hapa, tuletee hoja za maana acha kuleta uvyama
 
Unachokiongea ni kweli kabisa..binti yule (Nadhani alikua Eatv kipindi cha bolingo na dansi Afro beat) hana confidence..anaji shaua shaua ..yupo tu alimradi..Regina nae umri umeenda kila siku kujifanya mtoto..level zake alitakiwa akomae huko Deutche Welle kwa sauti yake..matokeo yake amepwaya kila angle anayowekwa.. Graphics nazo ni mbovu ..wajaribu kuwaiga Eatv..nadhani walitaka ifanane na Hotmix ya EATV ila kama kawaida yao kila wakiiga wanaangukia pua! show mbovu sana!
 
Wewe mwnyw mtoa mada hujielewi, ss km hupendi kipindi chao bado unawafuatilia tuondolee unafiki wako hapa, tuletee hoja za maana acha kuleta uvyama

Wewe usipojadili vyama unataka ajadili nini cha muhimu kwako kuliko ukweli aliousema?? Acha utaahira ccm wewe.
 
Clouds upande wa tv itawagharimu miaka mingi.....wapo shallow mno......hata nikikumbuka kipindi EATV inaanza quality yake ni mara 1000 ya clouds tv sasa.....
 
Pole naona hasira zako za majibu ambayo hukutegemea kwenye post yako unamalizia kwangu mimi nimekupa ushauri tu, haya fungua tv yako uanzishe babu bomba ushauri mwingine huo ukikataa wewe mchawi..
Hapo ndio akili yako imewaza na kufikia mwisho?? Ngoja nikutupie utumbo mmu uchangie kwa maana ndio uwezo wako.
 
Pole naona hasira zako za majibu ambayo hukutegemea kwenye post yako unamalizia kwangu mimi nimekupa ushauri tu, haya fungua tv yako uanzishe babu bomba ushauri mwingine huo ukikataa wewe mchawi..

poa! haya kesho mlete babu yako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom