Cloud TV kumelipukiwa na Mabomu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cloud TV kumelipukiwa na Mabomu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MVUMBUZI, Feb 17, 2011.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba akina Kibonde mtupatie majibu mbona Cloud TV inaonyesha cheche tupu tangu jana au mabomu ya Gongo la mboto yaliwalipukia?

  Tangu jana cloud TV imekuwa haionyeshi kitu chochote zaidi ya screen ya kijivu inayopitisha vitu kama cheche.

  Wakuu tunaomba mtujuze au ndo majaribio yameshindikana
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ubunifu....Huoooo.....ha haa kama vile malaysia..walivyo kuwa wanatakangaza kwa kutumia vibatari kuonyesha kero ya umeme.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Vipi sauti za watangazaji zinasikika???
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :coffee:
   
Loading...