Clip hii inaonyesha demokrasia inavyokandamizwa na nguvu ya pesa

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94


Mheshimiwa alisema yafuatayo:

1. Amepita bila kupingwa, ndo imetoka hiyo!
2. Anawashukuru wananchi wa Nyamagana kwa kuwa na Imani nae
3. Mwanza hakuna upinzani, na alikua na imani kuwa watachukua majimbo yote..


Sasa yuko wapi??
 
Last edited by a moderator:
Fisadi huyu Masha hana mpango ameiharibu wizara ya mambo ya ndani kwa ufisadi PUMBAVU MASHA:laugh:
 
Hahahahahahahahahahahahahahaha. Kama kuna mwaka nimefurahi basi ni mwaka wa 2010, baada ya kusikia kuwa wananchi wanyamagana wameng'oa kisiki. Huyu jamaa alikuwa ni kikwazo sana kwa maendeleo ya Nyamagana pamoja na Tanzania kwa ujumla. Hafai kuwa kiongozi. Akaongoze huko Marekani alikokulia.Mtanzania gani hata kiswahili hajui atajuaje matatizo ya watanzania?.
 
Back
Top Bottom