Clinton na Mandela viongozi wa mfano kwa kuomba msamaha wananchi wake,Utamanduni huu umetushinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clinton na Mandela viongozi wa mfano kwa kuomba msamaha wananchi wake,Utamanduni huu umetushinda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DT125, Dec 18, 2011.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Viongozi wetu wa kisiasa wameshindwa kuiga utamanduni wa kuomba msamaha pale wanapoteleza mifano ni hii hapa viongozi hawa hawajawahi kuomba msamaha kwa makosa haya huku wakielewa kuwa binadamu kuteleza ni kawaida na imeandikwa tusamahe saba mara sabini. Viongozi hawa tunawadai watuombe radhi wakiwa bado hai;
  1. JK, EL na RA kwa kutuingiza kwenye RICHMOND
  2. Mkapa na Magufuli kwa kuuza mashirika na nyumba za serikali.
  3. Mkulo kudidimiza uchumi wa nchi hii.
  4. Prof Ndulu kutengeneza noti ubora dhaifu.
  5. Makamba chama chake kushindwa kutekeleza ahadi zake kabla ya kusitafuu.
  6. Mungai kuua michezo mashuleni.
  7. Mwinyi na Sumaye kubora ardhi za wanyonge.
  8. Sitta na Mwakembe kuficha ukweli kuhusu RICHMOND
  9. Pinda kuuza ardhi kubwa kwa wawekezaji mkoani kwake.
  10. Ongezea wengine na makosa yao.
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwetu eti mkubwa hakoseii
   
Loading...