DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,094
- 1,691
Ukumbuke na ngazi ya kituo cha afya unayopaswa kufanya kazi. Kumbuka wewe si daktari ni non physician clinician.Naomben kufaham!
Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.