Clinical Officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea

Naomben kufaham!

Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
Ukumbuke na ngazi ya kituo cha afya unayopaswa kufanya kazi. Kumbuka wewe si daktari ni non physician clinician.
 
Waliosoma CO wanakula maisha inakuwaje wewe bado haujapata mchongo? Au haujasoma TANDABUI?

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom