😂😂😂 Daaah nmecheka sanaHata wewe pia unatia mashaka
Cha kufanya andika barua ya kuomba kujitolea pamoja na cv zako, then sambaza kila hospital, wakikuhitaji watakuitaNaomben kufahamu..! Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu,naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajir
Kuna mtu yupo private amepata ajira government bado hajariport njoo tuoneNaomben kufaham!
Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
Embuu Jaribuu Kupelekeka katika Hospital ya Amana au Temeke Huwa wanaitaa walee ambao wanataka KujitoleaNaomben kufaham!
Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
Hapana Usiseme hivyoo mkuu sasa hivii hataa kupataa sehemu za Kujitoleaa ni connection hazipatikanii kizembe na siyoo sehemu zote wanaruhusu watu kujitolea mkuuTanzania jamani.
Zahanati ya Mafuleta ina Daktari mmoja na nesi mmoja. Zahanati inahudumia vijiji vinne, ila unakuta clinical officer anatafuta sehemu ya kujitolea.
Nanyogie, Bwiko, Mgila kote hakutamaniki.
Tunakwama wapi?
Point yangu ni kwamba nyinyi kwa taaluma yenu hamkutakiwa kuhangaikia sehemu ya kujitolea.Hapana Usiseme hivyoo mkuu sasa hivii hataa kupataa sehemu za Kujitoleaa ni connection hazipatikanii kizembe na siyoo sehemu zote wanaruhusu watu kujitolea mkuu
tunakwama Tanzania...Tanzania jamani.
Zahanati ya Mafuleta ina Daktari mmoja na nesi mmoja. Zahanati inahudumia vijiji vinne, ila unakuta clinical officer anatafuta sehemu ya kujitolea.
Nanyogie, Bwiko, Mgila kote hakutamaniki.
Tunakwama wapi?
huyu dogo hana vyetiKuna mtu yupo private amepata ajira government bado hajariport njoo tuone
angalia usilizweNaomba mawasiliano yako mkuu