Clinical medicine na nursing ipi kozi bora kwa mtoto wa kike kupata ajira kwa hali za sasa?

Kwanini unampeleka mtoto wako wa kike kwenye kazi kama hizo mkuu. Kama anasura ngumu mpeleke ni sawa tu.
Ila mtoto wako kama unampenda mpeleke akasome kozi zinazoeleweka zinazoweza kuifanya hata familia yako kutajirika hapo baadaye akipata mchongo wa maana. Ni hayo tu.
Mimi nafuata nyayo za waisraeli tu.
Kozi zipi za kutajirika? Zitaje!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini unampeleka mtoto wako wa kike kwenye kazi kama hizo mkuu. Kama anasura ngumu mpeleke ni sawa tu.
Ila mtoto wako kama unampenda mpeleke akasome kozi zinazoeleweka zinazoweza kuifanya hata familia yako kutajirika hapo baadaye akipata mchongo wa maana. Ni hayo tu.
Mimi nafuata nyayo za waisraeli tu.
Hakuna kazi ya kuajiriwa itakufanya uwe Tajiri!

Haipo.

Niko tayari kuanza ligi na wewe.

Twendeeee
 
Back
Top Bottom