Clean 9. Program ya siku 9.kupunguza mafuta na uzito usiotakiwa mwilini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clean 9. Program ya siku 9.kupunguza mafuta na uzito usiotakiwa mwilini

Discussion in 'JF Doctor' started by Mjasiriamali1, Aug 20, 2012.

 1. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG][​IMG]

  W.H.O SHIRIKA LA AFYA DUNIANI LIMETOA TAKWIMU KUWA MAGONJWA YANAYOONGOZA KWA KUUWA WATU DUNIANI KWA SASA NI BLOOD PRESSURE. 95% CHECK WITH W.H.O OFFICIAL WEBSITE. "LEADING KILLING DISEASE"

  [​IMG]


  AMBAYO INASABABISHWA NA VITU VINGI
  1.MAFUTA TUNAYOYAINGIZA MWILINI- KUPITIA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI.
  [​IMG]
  [​IMG]

  2.SUMU ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUMO TOFAUTI TOFAUTI. MF. AIR CONDITION,SUMU KATIKA MAFUTA YA KUPIKIA,MOSHI WA MAGARI,MIONZI YA JUA AMBAYO NI ARGENCY MKUBWA WA CANCER. KUKU WA KISASA NA MBOGA ZA MAJANI AMBAZO ZINAWEKWA SUMU NYINGI ILI KUHIFADHI UKIJANI WAKE NA SURA YAKE NZURI NA HII INA KIWANGO KIKUBWA CHA KUCHANGIA SUMU 48% KATIKA MWILI WA BINADAMU. HAPA TUTAELEZEA KWA KIREFU CKU INGINE.

  3.STRESS ZA MAISHA

  KIAFYA MWILI WA BINADAMU HAUTAKIWI U ACCUMULATE MAFUTA MENGI MWILINI MAANA YAKIZIDI YATAENDA KU AFFECT MWILI. NA KUPELEKEA MAGONGWA MENGI KAMA BLOOD PRESSURE NA MENGINE MENGI. AMBAYO YAKIKUTANA NA SHIDA KIDOGO KAMA MSONGO WA MAWAZO HUPELEKEA KUFAIL KWA MOYO KUFANYA KAZI NA MTU KUPOTEZA MAISHA. HATUSEMI NI VIBAYA MTU KULA ATAKACHO BUT TUJITAIDI KUREDUCE VIWANGO VYA MAFUTA KATIKA MIILI YETU. MAANA TUNALIMBIKIZA AU TUNAPANDA MAGONJWA MENGI SANA AMBAYO YANGEWEZA KUWA CONTROLLED.  [​IMG]

  "CLEAN 9"- NI MKOMBOZI WA WALE WENYE MAFUTA YALIYOZIDI MWILINI. NA KUSABABISHA UZITO AMBAO UMEKUWA KERO KATIKA MIILI YAO.

  KUSABABISHA:
  1.VITAMBI
  2.UNENE SEHEMU MOJA- MF, MIKONO, SEHEMU ZA MAKALIO, SHINGO, UPANDE WA MGONGO NA KULETA SHEPU AMBAZO WENGI HATUZIPENDI . NA TUMEJITAIDI KWA NJIA NYINGI KUREKEBISHA HIZO TOFAUTI NA TUMESHINDWA. UNAKUTA MTU ANA UMRI WA MIAKA 23 TUU BUT ANA KILO 120. HII NI HATARI KIAFYA.

  [​IMG]

  JINSI INAVYOFANYA KAZI:
  1. KAMA NILIVYO DADAVUA MWANZO HII NI PROGRAM ILIYOCHANGANYWA MIMEA YA ASILI TUU

  [​IMG]

  >>GARCINIA PLUS- HUU MMEA ASILI YAKE NI JAPAN UNAUWEZO MKUBWA WA KUCHANGE FAT INTO ENERGY NA KUABSORB MAFUTA YOTE AMBAYO HAYATAKIWI KATIKA MWILI WA BINADAMU. NA HATA UKILA WANGA KWA WINGI AMBAYO HAITAKIWI BASI ITANYONYA WANGA WOTE KATIKA MWILI NA KUBAKISHA KIASI KIDOGO KINACHOTAKIWA.

  [​IMG]

  >>BARBERDENSIS MILLER- HII INAUWEZO MKUBWA WA KUSAFISHA UCHAFU NA MABAKI YA VYAKULA YALIYOGANDIANA KWA TUMBO HATA MIAKA 5 ILIYOPITA NA KUONDOA YALE MASUMU YOTE. NA KULISHA CELL NA TISSUE ZA MWILI HIZO KUBAKI MWENYE AFYA KUBWA BILA KUUGUA.

  >>UKICHANGANYA NA PACKAGE INGINE NDANI YA HII PROGRAM BASI. MWILI UNAANZA KUONDOKA MAFUTA NA KUPUNGUZA UZITO WA MWILI KUANZIA KILO 5 NA KUENDELEA UKIONA IMETOSHA UNAPUMZIKA NA PROGRAM,

  >>PROGRAM HII INAENDANA NA MAZOEZI YA DK.20 KILA SIKU- ATLEAT KUTEMBEA KWA NUSU SAA KILA SIKU PAMOJA NA MAJI YA KUTOSHA.

  WENGI IMEWAPA MATOKEO MAZURI NA WANAIKUBALI NI NJIA NZURI YA KUMAINTAIN WEIGHT BILA MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO WALA KUDHOOFU MWILI.


  [​IMG]

  HUJACHELEWA. USIKATE TAMAA NA JINSI ULIVYO SASA. CLEAN 9 IT,S 100% NATURAL PROGRAM TO CONTROL YOUR HEALTH AND NO CHEMICALS. PLEASE IF YOUR INTERESTED PLEASE CONTACT WITH ME TO OWN YOURS.

  THANKS & REGARDS
  Joseph
  0713297066/0765377506
   
 2. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2013
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  asante dada anna. pls tuwasiliane kwa hiyo namba hapo juu
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2013
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kalipie Tangazo La Biashara
   
 4. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2013
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wasilianna 0713297066
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmhhhhh
   
 6. F

  Fofader JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2013
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Hii ni program au vidonge au juice ya kunywa? Usicomplicate bana, elezea vizuri!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2013
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Imenikera hiyo picha ya jeneza tuu.
  Hata kama ni biashara sio hadi tutishane bana!
   
 8. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2013
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ndio unapunguza kuanzia kilo 5-8 baada ya siku 9. ukimaliza unatumia "lean" kwa ajili ya kumaintain uzito wako. lakini muhimu displine ya balance diet na mazoezi lazima vizingatiwe.
   
 9. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2013
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  shingi ngap
   
Loading...