Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.

Atakua alisoma girls huyo mumeo
 
Nilikuwa nakufanyia mpango... ila sheli yenyewe iko Dar. Nadhani mi na wewe tutakuwa maclassmates bora kabisa.
Iko hvo
FB_IMG_1544508725480.jpeg
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Dah..bila hata ya salamu? ...
 
Kitu gan na kwa nn alinioa kama kuna vitu havipati kwangu
Twiny. Kwani mume akitoka nje ya ndoa unahisi nini anakikosa kwako? Labda huna lugha nzuri. Labda hujui kupika au labda kiungo chako cha siri ni kikubwa sana na hakipigwi deki mara kwa mara
 
Aiseee
Twiny. Kwani mume akitoka nje ya ndoa unahisi nini anakikosa kwako? Labda huna lugha nzuri. Labda hujui kupika au labda kiungo chako cha siri ni kikubwa sana na hakipigwi deki mara kwa mara
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Usihofu huyo mumeo alikuwa kuwadi enzi enzi !bado anaendelea kuwakuwadia hao wake za watu na ukijilegeza hata wewe anaweza kukukuwadia kwetu!
 
Watu tupo kwenye magroup yote,kuanzia primary,sec mpakq chuo,wacha magroup ya tuition Kwa Aiden na discussion,sasa hapo nitakuwa na namba ngapi??na kinaachoonekana uko interested na namba zilizoandikwa mqjinq halisi,kama mumeo anachepuka kweli hawez kuweka namba ya mchepuko Kwa jina lake,,ataweka hata fundi Juma,,
 
Kwan wanaume mna maan basi ni basi tu tunawabeba hvo hvo mlivo ilimradi siku ziende
 
Mbona wapo wengi tu, simu asilimia 80% imejaa wanawake hyo 20 ni masela kidgo na ndugu wengi.. Ukihangaika nayo utakonda na kihoro, na hapo usijaribu kwenda Watsup. Unakuta wote anachart nao mahaba. Hahaaa hao ndio wanaume mumy
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom