Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Kujaa majina ya kike tu si shida kinachotakiwa ni uaminifu kama ni mwaminifu wala usiumize moyo wako kwa kuona majina mengi kwenye simu ya Mume wako.
 
Sa si unacopy tu kama tano, unawapigia unawauliza walisoma shule gani, namtafuta dada yangu alisoma hapo. Ukiona hawaelewi somo ujue changa la macho. Au chukua namba mbili wapigie alafu muulizd mmoja kma anamjua mwenzie
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
ATAKUWA ALISOMA WERUWERU GIRLS
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
simu ni chombo binafsi cha mawasiliano ya mtu... wewe si mu yake inakuhusu nini shangazi?
 
Back
Top Bottom