raphael joseph
Member
- Sep 26, 2015
- 22
- 14
- Thread starter
- #21
Ya kutunisha mfuko, naielewa sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili jambo la msingi sana hapa town.Ukipendeza namna hio angalau uwe na kibaby walker, sio tunakukuta unagombania daladala za kwa mtogole.
mwanaume hamechishi...................shati inamechi kwa mbali na suruali jambo ambalo ni makosaTuambie nini kimekosekana au kimekosewa hapo ( kwa wale classic men wenzangu)
View attachment 1440762
Sent using Jamii Forums mobile app
dogo unasoma bandari collage?Tuambie nini kimekosekana au kimekosewa hapo ( kwa wale classic men wenzangu)
View attachment 1440762
Sent using Jamii Forums mobile app
utakuwa ni lecturer wake wewe🤣dogo unasoma bandari collage?
hahahahautakuwa ni lecturer wake wewe