Class Re-Union (Class of '87 - Moshi Technical) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Class Re-Union (Class of '87 - Moshi Technical)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Advisor, Mar 20, 2008.

 1. A

  Advisor Member

  #1
  Mar 20, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeombwa kutoa tangazo lifuatalo:

  Class Re-union moshi tech
  Tunaomba kuwajulisha wale wote waliohitimu shule ya sekondari ya ufundi Moshi (Moshi Technical School), mwaka 1987 kuwa tunatarajia kukutana tena baada ya miaka zaidi ya 20 (Class Re-union) mwisho wa mwaka huu (Nov 2008).
  Tunaomba watakaopata taarifa hii watusaidie kufanya mambo 2:
  1. Watume email kupitia betapromotions@gmail.com ikiwa na subject, Class Re-union, na
  2. Wawajulishe wengine wote wanawaowafahamu ili tuweze kuwa kujua idadi ya watakaoweza kuhudhuria.
  Tunaomba pia wale wanaoishi Dar watujulishe ili waweze kusaidia sehemu za maandalizi.
  Tunawaomba wote watakaopata taarifa hii waweze kuhudhuria ili tukumbushane tulipotoka, zaidi ya miaka 20 iliyopita.
  Tunatarajia kuwa na ugeni kama akina E. Malale, Kasenge, A. Munuo, I. Malisa (na Obelini), Mpande, Pyuza na wengine watakaopatikana.
  Ahsanteni sana!
   
 2. l

  lageneral Member

  #2
  Mar 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkikutana changieni hata kitu kidogo kwa ajili ya Moshi tech.Any thing will count much.Siku zijazo anzisheni Moshi tech Alumnu Association ambayo iatashirikisha wanafunzi wote waliosoma shuleni hapo.
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Very nice idea indeed! However I was just a "ndama" on that year. Would be happy to be a "server" on that celebrations...mmhh "pozo" kama kazi..please invite Mzee Lekey to prepare a "bondo" for you.
  I would be happy to see Mr. Munuo...I still remember him serving six strokes (super six) on my buttocks while smilling as if we are chatting. Hey, never ever forget to invite Mr. Mboya(english teacher),I would like to see how he looks like when I'm not scared of his presence. I wish you would invite Mrs. Zera Msuya..the golden mama...best teacher of chemistry i have ever met. Hey, you think I won't be there b'se I'm not the 87 class? I willl .OK? Four 4 and ndama are compatible so I wanna be serving you a bondo right there.

  Please Moshi Tech alumin, let's make sure this succed and there after 88, 89, 90(mine) etc.
  Remember: MOSHI TECH IS(WAS?) SUCH A GREAT SCHOOL UNDER THE HUMBLE LEADERSHIP OF MR. MALALE.
   
 4. A

  Advisor Member

  #4
  Mar 22, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TzPride na wengine,

  Hata kama ulikuwa ndama wakati huo, napendekeza peleka jina lako kwenye email address iliyotolewa hapo juu ili upate ushauri wa wahusika. Nimeona kwenye blogu zingine watu wengi wamependekeza kuwe na wahitimu wengi zaidi ya Class '87. Kwa hiyo inaelekea kama mtakuwa wengi inaweza kusaidia
   
 5. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  ??????


  November is not far!  .
   
Loading...