Dejavu JF-Expert Member May 31, 2018 1,568 3,424 Jun 5, 2018 #1 Huu mwili si kama kifaru cha jeshi maana mwanzoni nilihisi labda jamaa anakunywa petrol that's why ana tank kama hili. Afu inaaproach 40 ila mwili kama iko late 20.
Huu mwili si kama kifaru cha jeshi maana mwanzoni nilihisi labda jamaa anakunywa petrol that's why ana tank kama hili. Afu inaaproach 40 ila mwili kama iko late 20.
ze-dudu JF-Expert Member Jul 26, 2014 17,274 22,008 Jun 5, 2018 #4 huyo toka anacheza ndio mwili wake huo aende hollywood akaigize sasa
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 28,082 80,866 Jun 5, 2018 #5 Moja kati ya wachezaji bora macho yangu kupata kushuhudia..
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,353 Jun 6, 2018 #6 Watu wana genes za mazoezi. Yupo wapi De Lima au Adriano.