laut Member Feb 6, 2013 28 4 Jun 14, 2013 #1 Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
Z zege ngumu Member May 18, 2013 41 5 Jun 15, 2013 #2 laut said: Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi? Click to expand... bila civil Ni sawasawa na gari bila gear box
laut said: Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi? Click to expand... bila civil Ni sawasawa na gari bila gear box
L lazima ukae JF-Expert Member May 15, 2013 786 371 Jun 15, 2013 #3 Unasomaje course ambayo hujui wapi unatakiwa ukafanye kazi...this is crazy
faabroz JF-Expert Member May 26, 2009 286 69 Jun 15, 2013 #4 Utafanya kazi zifuatazo .1. building work 2.civil works-road,tank, highways 3.mining sector-constructin structure 4.gas mtwara-pipes aline/industries 5.tendering+contract+managements 6.consultancy+contractor 7.nk.
Utafanya kazi zifuatazo .1. building work 2.civil works-road,tank, highways 3.mining sector-constructin structure 4.gas mtwara-pipes aline/industries 5.tendering+contract+managements 6.consultancy+contractor 7.nk.
Sizinga Platinum Member Oct 30, 2007 9,100 6,022 Jun 15, 2013 #5 Du ukifanya civil hutajuta maishani.
raj dull ah Member Mar 29, 2013 31 6 Jun 15, 2013 #6 Ni sawa na kutoka nje halafu unatafuta mahali pa kwenda! Civil is the mother of all engineering course Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Ni sawa na kutoka nje halafu unatafuta mahali pa kwenda! Civil is the mother of all engineering course Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
C Chizu Cka Member May 28, 2013 28 4 Jun 15, 2013 #7 Civil engineer holds a life, ni course ngumu bt muhimu bila kikomo
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,102 53,351 Jun 15, 2013 #8 Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100
T Thema JF-Expert Member May 8, 2013 301 64 Jun 15, 2013 #9 Bulldog said: Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100 Click to expand... Hapo ndo patamu!
Bulldog said: Ukiwa mzembe lazima udisko, unless uwe unasoma zoom college. Wanaanzaga 500 wanamaliza 100 Click to expand... Hapo ndo patamu!