Civil engineering ni moja ya kozi inferior UDSM-COET.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii.

Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni Telecom hii ndio inachukua best students.

Ukija mtaani watu waliosoma Telecom hawana maana sana km wale wa civil engineering(wajenzi)
Km una lolote tiririka....
COET not OET

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Telecom haipo COET iko COICT
 
Soma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.

Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.

Unasoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?
 
Mbona Title haiendani na ulichokiandika hapo kwenye thread yako .??
Labda ulipita Udsm miaka ya nyuma sana au umeleta story za vijiweni .

Anyway ni hivi kwa Miaka ya hivi karibuni pale Coet Chemical and processing engineering (CPE) ndo inaongoza Kwa kuchukua waliofaulu sana ikifuatiwa na Electrical then Mechanical na Civil wanafunga dimba .
Kuhusu kupiga pesa sijui huko mtaaani Game inaandaje .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.

Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.

Unadoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?

Hatari sana
 
Kajifunze Kuandika na Pia Jifunze kuwa Na Taarifa Nyingi kadri uwezavyo kabla ya KukurupuKa Kuleta Uzi humu..

mosi;Telecom Haiko CoET ipo CoICT kule Kijitonyama.

pili:UDSM-OET ndio nn??? nafikiri ilibidi iwe UDSM-CoET.

Tatu: kwa sasa pale UDSM course inayochukua Best Students ni Petroleum Engineering(BSc.PE)

BE INFORMED.

"kinacho Sura,Kina Kisogo"
 
Petroleum sa hivi watu wanaiogopa kama Ukoma .
Kwa Miaka 2 hii 2017/2018 na 2018/2019 CPE na electrical ndo wameongoza .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii.

Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni Telecom hii ndio inachukua best students.

Ukija mtaani watu waliosoma Telecom hawana maana sana km wale wa civil engineering(wajenzi)
Km una lolote tiririka....
COET not OET

Sent using Jamii Forums mobile app
Husiopingika? Uandisi?
Hapo tu nimekuweka kundi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petroleum Engineering ipo college gani?
Mbona Title haiendani na ulichokiandika hapo kwenye thread yako .??
Labda ulipita Udsm miaka ya nyuma sana au umeleta story za vijiweni .

Anyway ni hivi kwa Miaka ya hivi karibuni pale Coet Chemical and processing engineering (CPE) ndo inaongoza Kwa kuchukua waliofaulu sana ikifuatiwa na Electrical then Mechanical na Civil wanafunga dimba .
Kuhusu kupiga pesa sijui huko mtaaani Game inaandaje .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli husiopingika watu wa civil engineering ndio kada inayoongoza kupiga pesa nchi hii.

Lakini huwezi amini katika chuo kinachoheshimika TZ udsm kupitia college ya Uandisi the best course ni Telecom hii ndio inachukua best students.

Ukija mtaani watu waliosoma Telecom hawana maana sana km wale wa civil engineering(wajenzi)
Km una lolote tiririka....
COET not OET

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena sawa ,hata Mimi huwa nashangaaa why Telecom and not civil?

A Philanthropist&£conomist.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom