Civil consultants.

Bonobo

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
364
665
Habari wakuu,?

Samahani wakuu..Hivi kwa hapa Tanzania, nawezaje kujua majina ya consulting firms ambazo zimepewa kazi ya ku design structure mbalimbali, kabla hata consultant hajamaliza kazi yake ya ku design? Yan ile amepewa kazi ya kudesign... uweze kujua jina la project na consulting firm husika....

Kwa yeyote mwenye kujua hili, naomba anisaidie.
 
Weka uzi wako sawa nami nikuelewe.
Mimi nimemuelewa anachohitaji.
Yaani anahitaji kujua consulting companies ambao wamepata tenda ya kazi na kazi yao iwe on progress ktk hatua za awali kabisa.
Sasa anauliza kwamba anawezaje kuwapata au Kuna njia gani na mbinu gani ya kutumia ili kuwapata au Kama Kuna mtandao wowote wa kuwapata?
Huu ndio msaada anaohitaji kwa yeyote mwenye uelewa wa hili
 
Siyo rahisi sana kuwatambua, wenda ungesema lengo la kwanini unataka kuwajua ingekua rahisi kukusaidia kwa njia moja au nyingine.
 
Mkuu umenisaidia kueleza vyema.
 
Siyo rahisi sana kuwatambua, wenda ungesema lengo la kwanini unataka kuwajua ingekua rahisi kukusaidia kwa njia moja au nyingine.

Mkuu, lengo kuu ni kuomba kazi kama Sub, especially makampun ya nje ya nchi... labda kuomba kuwafanyia topographic survey... na mengineyo...
 
Kujua kampunia ambayo tayari imekua awarded tender ndo changamoto. Kama ungekua unaangalia sana magazeti hasa daily news ndo tender nyingi zinatangazwa inakua rahisi kucheza na firms ambazo waliitwa kwenye ku open tender then unaanza hapo.
Tofauti na hapo kuna changamoto kidogo njaa ni kubwa sana kwa makampuni...unakuta kampuni ni class A mfano wa construction in bidd adi tender ambayo class five ndo ingeifanya na still unakuta imeweka gharama ya chini na still inakosa kazi.
Nadhani uwe mpenzi wa kusoma magazeti sana na tovuti mbalimbali na pia jaribu kupitia notes board za taasisi mbalimbali.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Ni ngumu kujua, though unaweza kupata all consultants firm in Tz kupitia CRB
 
Habari wakuu,?

Samahani wakuu..Hivi kwa hapa Tanzania, nawezaje kujua majina ya consulting firms ambazo zimepewa kazi ya ku design structure mbalimbali, kabla hata consultant hajamaliza kazi yake ya ku design? Yan ile amepewa kazi ya kudesign... uweze kujua jina la project na consulting firm husika....

Kwa yeyote mwenye kujua hili, naomba anisaidie.
Nipe namba yako ya wasap nikuunge na group mkuu Kuna tangazo nimeliona linahusu fani yako
 
Okay, shukran
Hata pale erb kuna hayo maelezo
ERB kwenye web site yao, utaona firm ila mara nyingi Tendering Process huwa ni confidential katika baadhi ya stage,
mfano proposal writting ambapo shortlisted Firm ndo wanakuwa wanafahamu, hivyo usipokuwa kwenye ile chain
ya shortlisted firm inakuwa ni ngumu sana kufahamu. Ila Tanroads kwenye website yao huwa wanaweka Firm ambazo
zimekuwa awarded, na PPRA unaweza Check Category ya awarded Tender
 
Mtag mtoa maada nae apate haya madini, ila shukran maana nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni na wenzangu
ERB kwenye web site yao, utaona firm ila mara nyingi Tendering Process huwa ni confidential katika baadhi ya stage,
mfano proposal writting ambapo shortlisted Firm ndo wanakuwa wanafahamu, hivyo usipokuwa kwenye ile chain
ya shortlisted firm inakuwa ni ngumu sana kufahamu. Ila Tanroads kwenyewebsite yao huwa wanaweka Firm ambazo
zimekuwa awarded, na PPRA unaweza Charge Category ya awarded Tender
 
Mkuu, lengo kuu ni kuomba kazi kama Sub, especially makampun ya nje ya nchi... labda kuomba kuwafanyia topographic survey... na mengineyo...
Nakumbuka wakati nimemaliza kidato cha sita nilikosa pesa ya kulipia form za kujiunga na chuo kwahyo nikahailisha mwaka mkoani kwetu kulikuwa na project ya barabara 154km nikasotea kazi nikapata kazi ya mahabara mzee mwaka mmoja niliomaliza pale nilitoka nikiwa expert wa hatari yani mm barabara kuanzia survey mpaka surface dressing na test zote za mahabara nazijuwa nje ndani sema sikusomaga science nafikili sasa hivi ningekuwa injinia mzuri sana.

Ushauri wangu kwako nafuta maeneo ambayo yana miradi nenda kasotee uzuri wewe ushapata uzoefu napengine labda hyo ndoa taaluma yako kwahyo kupata kazi ni raisi kidogo maana pale kwenye camp zao kunakuwa na office zote za contractor na consultant. Nenda kijana i promise utapata muimu nikuwa na uthubutu wakujaribu.
 
ERB kwenye web site yao, utaona firm ila mara nyingi Tendering Process huwa ni confidential katika baadhi ya stage,
mfano proposal writting ambapo shortlisted Firm ndo wanakuwa wanafahamu, hivyo usipokuwa kwenye ile chain
ya shortlisted firm inakuwa ni ngumu sana kufahamu. Ila Tanroads kwenye website yao huwa wanaweka Firm ambazo
zimekuwa awarded, na PPRA unaweza Check Category ya awarded Tender

Unachosema kipo sahihi kabisa, lakin kwenye website ya tanroad, mirad ambayo ipo kwenye stage ya design huwa hawawek...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom