City Fathers where are you?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
main.jpg

City Fathers, where are you? Still sleeping:The continuing complacency of Dar es Salaam city authorities is now being usefully exploited by enterprising people like this young man, who was yesterday pictured `voluntarily` filling the gaping potholes at the Upanga/Kisutu Streets junction with gravel that only he knows where and how he got it - and stretching out his hand for money tips from the presumably grateful drivers of passing vehicles.
 
Bubu... heshima Mkuu lakini hiyo picha umetuwekea ya lile kanisa ambapo mass ya Balali ilisomwa.... is it intentional au ni error!!!
 
Bubu... heshima Mkuu lakini hiyo picha umetuwekea ya lile kanisa ambapo mass ya Balali ilisomwa.... is it intentional au ni error!!!

Hebu vaa hiyo miwani yako uangalie tena hiyo picha!!!! Duh!!!! Na hiyo gari hapo pembeni yenye plate numbers za Tanzania ilibebwa ikapelekwa Washington? :confused:
 
Unajua ndio maana tunazidi kufanywa wajinga na viongozi wetu. Kuna watu wanajifanya wana uchungu kweli na nchi hii kumbe hata hawaijui. Njoo Bongo kaka ujionee mwenyewe msikae tuu huko ughaibuni
 
Bubu... heshima Mkuu lakini hiyo picha umetuwekea ya lile kanisa ambapo mass ya Balali ilisomwa.... is it intentional au ni error!!!

Muelimisheni jamani,

amepotoka tu, machungu ya kufiwa au msiba unaokugusa kwa namna moja au nyingine si kadhia ndogo, pia si wote humu wamewahi kufika Dar es Salaam ;) , au mitaa hiyo,

sic! (w'benefit of a doubt) mnajuaje kama 'Balali' anayemzungumzia ndio huyo huyo 'Balali' mnayemsema nyie?... ukinyoosha hiyo barabara kulia (kisutu) kuna temple za Kihindi, labda alikuwa anakusudia huko (?)

...Mkuu hapo ni Haidery plaza hapo, mitaa ya Indira Gandhi.
 
main.jpg

City Fathers, where are you? Still sleeping:The continuing complacency of Dar es Salaam city authorities is now being usefully exploited by enterprising people like this young man, who was yesterday pictured `voluntarily` filling the gaping potholes at the Upanga/Kisutu Streets junction with gravel that only he knows where and how he got it - and stretching out his hand for money tips from the presumably grateful drivers of passing vehicles.

...'MultiNetAfrica', ...Bongo hiyo HAIJALISHI KAMA UNAVUNJA SHERIA AU LA, akili kumkichwe almuradi mkono wenda kinywani, kujiajiri ni akili yako tu. Hapo ni sehemu mojawapo tu, ubaya ni kitovuni mwa jiji, huko mitaani kwetu ni jambo la kawaida kabisa...

tushasahau mambo ya serikali za mitaa na hadithi zao zisokwisha, mara ooh, hatuna fungu la pesa, mara ooh, tunasubiri ruzuku toka serikali kuu, mara ooh... mipango ya mungu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom