Citizen Tv ya Kenya yaomba msamaha kwa matumizi ya "Ukaidi wa Magufuli"

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Citizen TV baada ya malalamiko ya balozi wa Tanzania nchini Kenya wameona kheri yaishe na kutengua kauli hiyo

Ukaidi.jpeg

Pia soma > CCM mmeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli? - JamiiForums
 
Julius Malema alishasema 🇰🇪 Uhuru wanao Kenyattans pekee, Regular Kenyans wanajifeel kama moja wapo ya states za America na ndio maana wameishia kukopi na kupesti kila kitu, uhuru fake wa habari wa kudharirishana, unrealistical lockdown na mengi mengi ya kipumbavu tu.
 
Ingekuwa ni media uchwara za Tz ndio zimeandika jambo lolote lile kuhusu Kenya. Hata iwe tusi la wazi wazi, hakuna mkenya yeyote angelia lia kama watz. Tungepuuzilia tu na hatungepoteza muda wa balozi wetu Dan Kazungu kule Dar. Nyang'au anatamba kweli kweli ukanda huu. Hongera kwa Citizen TV, RMS na media za Kenya kwa ujumla. Watz endeleeni kufaidi na kufatilia uanahabari wa hali ya juu kutoka kwa wakenya na msisahau kueleza media zenu zijifunze na ziige pia.
 
Nyama kwisha pelekwa buchani haiwezi tena kuwa ng'ombe!!

Kama namuona mzee yusufu
 
Huyo anaeongea ni mtanzania, hio si accent ya kikenya, hio si ripoti ya Citizen TV!!!!!

Hii hapa handle ya Citizen TV Kenya CitizenTV nitafutie hio video unionyeshe
Tatizo lako unakuwaga mbishi halafu unatumia maneno mengi kuhalalisha ubishi wako wa kishamba humu,
Yaani hujagundua hata kuwa hiyo video kwenye hiyo tweet imerekodiwa kupitia iPhone screen recording!
Hapa nakupa link ya youtube angalia mwishoni mwishoni kwenye -2:
 
Huyo balozi amekosa shuhuli za kufatilia?

Ndugu Balozi anaweza kutuambia watz wangapi wako karantini huko kenya na wagonjwa waliobanika ni wangapj?
 
Back
Top Bottom