Citizen TV is a big let down. They are joking around with world athletics championships

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,432
2,000
These silly people should have let KBC the professionals to broadcast these championships. Now, Citizen na kimbelembele have messed up everything. Today i sat down to watch it but the bastards were going on a break after every three minutes. The advert break would last for between five to ten minutes. They are showing it between 5 to 7 and then past 7 they are not showing it. I have decided to watch it online. This privatisation of everything sometimes brings the quality of services down.
 
cblhbn

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
371
500
Eeeh! budaa ni nini mbaya, hii yote ni njaa, unabwabwaja vitu gani, tutawauzia unga, mahindi hampati. Citizen wanafanya biashara wasiende break manake wasilipe bills watajiendeshaje, unawaita bastard kati yako na wao Nani bastard utakula jeuri yako
 
kifusi boy

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
1,124
2,000
Me mwenyewe niliona matangazo yao kwenye social networks zao kua wataonyesha, cha ajabu jioni ile walivyoanza kuonyesha kila challenge moja ikiisha wanaweka matangazo
Halafu sasa hayo matangazo yao bora lingekua moja au mawili, wanaweka matangazo zaidi ya matano wanachukua dakika zaidi ya 3 mpk 4

Wakirudi after break unakuta baadhi ya matukio yamepita, yaan wanaboa kwelii

halafu nyie Wakenya kwenye hii michezo nyie ndo giants ilitakiwa kuwe na almost 3 TV stations waonyeshe hii kitu na si Citizen TV pekee

Napenda sana kuangalia these stuffs za athletes kuliko football ( frankly speaking )
 
Asante mkuu. Wanabo sana. Walinyang'anya station inayoitwa KBC ambayo ilikuwa nzuri sana kwenye mambo ya spoti. Hawakuwa wanaleta advertisement kibao kama hawa.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,432
2,000
Eeeh! budaa ni nini mbaya, hii yote ni njaa, unabwabwaja vitu gani, tutawauzia unga, mahindi hampati. Citizen wanafanya biashara wasiende break manake wasilipe bills watajiendeshaje, unawaita bastard kati yako na wao Nani bastard utakula jeuri yako
Kama wanataka kuenda break basi wasijaribu tena kuhost michezo. Wabaki huko na Telemundo na movie za kiNigeria. Sisi watu tunaopenda kutazama michezo tunataka station ambayo itaonyesha michezo bila kukatakata kila baada ya dakika tatu. Kama hawawezi waachie wenye wanaweza.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,432
2,000
Huenda ni njaa imekupanda kichwani nini? Sababu hata sikuelewi unacholalama hapa.
Pole afadhali ningeandika kwa kiswahili pengine ungenielewa. Tatizo ni kuwa mimi nikipandwa na mori huwa nazungumza kiingereza pekee. Ndio maana unaona nimemwaga kiingereza hapo.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Pole afadhali ningeandika kwa kiswahili pengine ungenielewa. Tatizo ni kuwa mimi nikipandwa na mori huwa nazungumza kiingereza pekee. Ndio maana unaona nimemwaga kiingereza hapo.
Hueleweki bado, jaribu lugha nyingine
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,372
2,000
I watched it online too, KBC is always the real deal when it comes to sports. Hao wengine wote ni kama wapo attachment tu, KBC only interrupts world sporting events when there is serious breaking news.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,372
2,000
Hueleweki bado, jaribu lugha nyingine
Huenda ni njaa imekupanda kichwani nini? Sababu hata sikuelewi unacholalama hapa.
Aisee, sasa tatizo lipo kwa mleta mada kwasababu hujaelewa? Huoni kwamba hayakuhusu? Naona huwa mnasahau kwamba hili jukwaa ni la habari na siasa za Kenya. Huu uzi ni kwa wanaspoti, wewe jamaa wa ngololoo kaa pembeni, tafadhali.
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,100
2,000
Yaani waache kupiga hela wasikilize makelele yenu!!!

Si kuna channels za dstv pia mnaweza kutazama huko msitake kuharibu biashara za watu
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,432
2,000
Yaani waache kupiga hela wasikilize makelele yenu!!!

Si kuna channels za dstv pia mnaweza kutazama huko msitake kuharibu biashara za watu
Yaani kwa hivyo tununue subscription ya Dstv ili tutazame michezo inayochezwa kwa wiki mbili tu? Mbona tulipe ilhali hatukuwa tunalipa ilipokuwa KBC?
 
Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,653
2,000
Kama wanataka kuenda break basi wasijaribu tena kuhost michezo. Wabaki huko na Telemundo na movie za kiNigeria. Sisi watu tunaopenda kutazama michezo tunataka station ambayo itaonyesha michezo bila kukatakata kila baada ya dakika tatu. Kama hawawezi waachie wenye wanaweza.
Hii Citizen ili ni shinda kuangalia wana matangazo mengi sana ata uki angalia nipashe ya saa moja jioni wana fanya kudukua dukua habari wana masinema mengi ya Kinageria bora KBC
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom