CITES Permit: Vibali vya usafirishaji wa nyara za serikali

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Salam Wadau,

Nadhani mada hii itaeleweka sana na Wadau wa Sekta ya Utalii, hususani wanaohusika na Hunting Tourism in one way or another. Ninachohitaji kufahamu ni mahitaji/Requirements ili mtu aweze kupewa CITES Export Permit.

What’s CITES Permit? A CITES permit is a document that is required to export certain wild animals or products made from those animals from one one country to another.

With the information I have, kwa Tanzania hiyo kazi inasimamiwa na
Officer-in-Charge; Tourism Hunting, CITES and Photographic Tourism Office, Wildlife Division-Naura House; Jijini Arusha pamoja na Dar es salaam (Mpingo House). Kwa bahati mbaya, kwa sasa sipo Dar es salaam wala Arusha.

Ukiingia kwenye website yao, ofisi ya Arusha wameweka namba ya simu lakini nadhani imekosewa; ni hii hapa: Tel: +255 (57) 87 50

Sasa basi, OMBI langu ni kwamba, ikiwa humu jamvini kuna Wahusika, basi naomba msaada wa kufahamu what it takes kupata CITES Permit.

Kinyume chake, ikiwa humu jamvini kuna mtu ana access na hapo Naura House (Arusha) na Mpingo House Dar es salaam, tafadhali naomba msaada wa Contacts za hao Officers in Charge.
Yaani In Charges wanaohusika na utoaji wa hati za ku-export nyara za serikali zinazoruhusiwa kisheria au mtu anayeweza kunisaidia katika hilo.

Nitashukuru sana endapo itakuwa mobile numbers kwa kuwa sina access na landlines.

Thanks in advance.
 
Usafirishaji wa wanyama walio hai, trophy, na mimea ulisitishwa mpaka utaratibu mpya wa kusimamia exportation. Si unakumbuka ile inshu ya ngedere waliokamatwa uwanja wa ndege? Sasa sijui kama wamesharuhusu kusafirisha tena.
 
Ni kweli CITES - Arusha wanahusika na kutoa kibali, hata ukienda mpingo house watakwambia nenda Arusha. Mimi nimesoma chuo cha wanyamapori - MWEKA kuna jamaa yangu ni muhusika pale CITES arusha ni pm nikupe no yake ila ukifanikiwa usisahau kunipa soda
 
Lahh nyara za serikali tena?...jamani fanya biashara zingine maana nyara za serikali hakuna kibali tena?.kwa sababu zinachangia utoroshaji.wa wanyama na mauaji ya wanyama. Kaka funga hiyo biashara lima Choroko,dengu, mbaazi utapata fedha ya buree. Mwisho wa siku tutakusikia umeingia pale kisutu.
 
Hujui kitu kaa kimya.
 
Una idea kidogo lakini huelewi vizuri hii industry.
 
Nimekuwa kwenye industry hii tangu waziri akiwa Zakhia Meghji, niulize kwa pm unachotaka nitakusaidia, hii sekta imekumbwa na majungu yasiyosimulika na wengi hawaelewi uhalisia wa industry hii.

Nadhani lengo lako ni kuexport trophy? Nina hakika, ila Tembo kwa sasa hakuna kibali cha kupiga tembo, wanyama wengine ruksa na vibali vyote vinatolewa kama kawaida, kasoro vya kusafirisha wanyama hai ndio waziri amesitisha.
 
Ahsante sana ndugu yangu, nimeku-PM kwa taarifa zaidi!
 
Lahh nyara za serikali tena?...jamani fanya biashara zingine maana nyara za serikali hakuna kibali tena?.kwa sababu zinachangia utoroshaji.wa wanyama na mauaji ya wanyama. Kaka funga hiyo biashara lima Choroko,dengu, mbaazi utapata fedha ya buree. Mwisho wa siku tutakusikia umeingia pale kisutu.
Hata wewe siku ukisikia unaweza kupata vibali halali vya kuingiza Cocaine au Heroin basi fahamu ukiingiza hiyo makitu kwa vibali halali basi hakuna kosa lolote!
 
Usafirishaji wa wanyama walio hai, trophy, na mimea ulisitishwa mpaka utaratibu mpya wa kusimamia exportation. Si unakumbuka ile inshu ya ngedere waliokamatwa uwanja wa ndege? Sasa sijui kama wamesharuhusu kusafirisha tena.
Ahsante kwa taarifa na hapa ndo natafuta official statement kuhusu hilo jambo!
 
Mk
Salam Wadau,

Nadhani mada hii itaeleweka sana na Wadau wa Sekta ya Utalii, hususani wanaohusika na Hunting Tourism in one way or another. Ninachohitaji kufahamu ni mahitaji/Requirements ili mtu aweze kupewa CITES Export Permit.

What’s CITES Permit? A CITES permit is a document that is required to export certain wild animals or products made from those animals from one one country to another.

With the information I have, kwa Tanzania hiyo kazi inasimamiwa na
Officer-in-Charge; Tourism Hunting, CITES and Photographic Tourism Office, Wildlife Division-Naura House; Jijini Arusha pamoja na Dar es salaam (Mpingo House). Kwa bahati mbaya, kwa sasa sipo Dar es salaam wala Arusha.

Ukiingia kwenye website yao, ofisi ya Arusha wameweka namba ya simu lakini nadhani imekosewa; ni hii hapa: Tel: +255 (57) 87 50

Sasa basi, OMBI langu ni kwamba, ikiwa humu jamvini kuna Wahusika, basi naomba msaada wa kufahamu what it takes kupata CITES Permit.

Kinyume chake, ikiwa humu jamvini kuna mtu ana access na hapo Naura House (Arusha) na Mpingo House Dar es salaam, tafadhali naomba msaada wa Contacts za hao Officers in Charge.
Yaani In Charges wanaohusika na utoaji wa hati za ku-export nyara za serikali zinazoruhusiwa kisheria au mtu anayeweza kunisaidia katika hilo.

Nitashukuru sana endapo itakuwa mobile numbers kwa kuwa sina access na landlines.

Thanks in advance.
Mkuu samahani naomba kuuliza hivi ukitaka kufungua bucha ya Nyama pori na ukawa unaenda kuomba vibali vya kuuza baadhi ya wanyama inawezekana?, utaratibu ukoje?
 
Mkuu wangu hapo sina ufahamu kabisa but ni matumaini yangu watu watakuja kutoa darasa katika hili pia!

cc Matola
 
Ni kweli CITES - Arusha wanahusika na kutoa kibali, hata ukienda mpingo house watakwambia nenda Arusha. Mimi nimesoma chuo cha wanyamapori - MWEKA kuna jamaa yangu ni muhusika pale CITES arusha ni pm nikupe no yake ila ukifanikiwa usisahau kunipa soda
Duh! Kwahiyo Mkuu wangu ndo umeamua kunipotezea kuhusu huyo jamaa ambae nina shida nae ya kiofisi?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom