Circuit ya amplifire kubwa hii hapa, it is so simple to build

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,371
2,000
Mchina subwoofer lake kubwa ni 150watts tu. Huko 300 umempendelea sana.

Vipi hio 1000watts inapiga kuliko ile ya Sony home theatre?


Unaamin lile box tunauziwa lenye spika nyingi limeandikwa sony home theatre 1000w kweli zile ni thousands watts?

Kuna ndogo zile za watts 300 nazo unaamin ni watts 300 ? Unajua hizo za watts 300 zinazdiwa ukubwa wa mziki na seapiano tu yenye vi TDA 2050 vi nne?

Kuna jL audio ya watts 300rms hii ni subwoofer tu ya inch 10 twita weka au zozote i mean zipige hata na tda2050 ..ambako kama hiyo sub utaipa amplifier ya watts 300 na hizo twita mbili ni watts 20 each jumla 40+ 300 ya sub ni watts 340

Kisha washa utanambia kama hivyo vi home theatre vilivoandikwa watts 1000 vinaingia hapo
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
32,608
2,000
Unaamin lile box tunauziwa lenye spika nyingi limeandikwa sony home theatre 1000w kweli zile ni thousands watts?

Kuna ndogo zile za watts 300 nazo unaamin ni watts 300 ? Unajua hizo za watts 300 zinazdiwa ukubwa wa mziki na seapiano tu yenye vi TDA 2050 vi nne?

Kuna jL audio ya watts 300rms hii ni subwoofer tu ya inch 10 twita weka au zozote i mean zipige hata na tda2050 ..ambako kama hiyo sub utaipa amplifier ya watts 300 na hizo twita mbili ni watts 20 each jumla 40+ 300 ya sub ni watts 340

Kisha washa utanambia kama hivyo vi home theatre vilivoandikwa watts 1000 vinaingia hapo
Ukipiga hesabu zinafika mkuu ndio maana wakaipa TAG. Halafu pia lazma tujue kuna tofauti ya mziki wa Integrated Circuits na ile ambayo kila kitu kipo kivyake. Ndio maana mziki wa gari wenye independent Subwoofer, Equalizer na Amplifier ni tofauti hata kwa sounding.
 

Daimon Mkocha

Member
Oct 27, 2018
42
95
Circuit hii sijai-design mimi niliipata kwenye mtandao,nikaisuka!

Imeandikwa watt 600 lakini Kama utaweka power transistor 10x2 utapata the realy 1000wattage of it!

Nimeisuka ipo powa sana,the sound is great.

It may blow out the roof of your room if you can dare to touch the maximum of its volume!

Hakikisha una speaker kubwa ndio usuke Amplifier hii.

POWER AMP.

View attachment 138995


NILIYO SUKA MIMI

View attachment 138996

POWER SUPPLY YAKE
View attachment 138997
POWER SUPPLY NILIYO ISUKA MIMI

View attachment 138999

Usiogope kuitengeneza ipo powa sana;it is so simple but it has wonderful result.Do IT Yourself now!

Tembelea website HII kwa maelezo zaidi

Kazi kwenu wana electronics.Cheers!

Kama kuna maswali yeyote ya kitaalamu zaidi naomba mum-PM huyu jamaa transistor yeye ndo amenisapoti kwa asilimia 100% kwani na mimi najifunza tu kama nyinyi.

BUT;take care guyz this is high voltage divice the voltage my reach 90 DC voltage enough to stop your heart beat if you work it wrong!Mafundi wa ukweli they are always care!
nitumie naomba hy website
 

Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,371
2,000
Ukipiga hesabu zinafika mkuu ndio maana wakaipa TAG. Halafu pia lazma tujue kuna tofauti ya mziki wa Integrated Circuits na ile ambayo kila kitu kipo kivyake. Ndio maana mziki wa gari wenye independent Subwoofer, Equalizer na Amplifier ni tofauti hata kwa sounding.


Quality ya mziki mziki wa gari una distortion kubwa kuliko wa majumbani

Sababu ya Ile power supply ya gari huwa kwenye frequency kubwa around 30khz and above zile switching noise zinaanza sikika kwenye spika pia kwa kiasi flan

Jua kutofautisha peak power na continuous power!!

Nina amp yangu ina peak 50w ila continuous sio watts hizo ni around 20w

So some manufacturer wanarate bidhaa zao kwa peak power kupata attention ..some wana rate kwa rms , continuous power

Ukilifahamu hilo utagundua lile box na vi spika haviwezi handle hizo watts

Naona home theatre za 1000w zimeandikwa 162w per channel

Unajua watts 162 zikoje ...vile vi spika vinaeza handle hizo watts? Siku moja nikupe amp inayotoa hata real 70w per channel ufunge kwenye hizo spika kama hujasikia harufu kwenye spika zako
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,015
2,000
My self I have idea on preparing radio transmitters, Inverter which does not use battery and which use battery. ,Strong amplifiers and all sensors you want which have any features you want. Sorry kingereza najifunza. Let's share ideas if your interested.I LOVE ELECTRONIC but I didn't go study for it due to economic condition.
Lengo lako nini kuunda transmitter, unataka u transmit mini? At least inverter ina matumizi ya sola.Unda vitu vinavyohitajika ktk jamii kama Huyo mtoa mada.l utauza utajipayia kopato. Unda hata AC,DC rugulator utauza huko mtaani
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,015
2,000
Watu mliosoma electronics naona mnamwaga nondo tu ki electronics, Hongereni sana.
Science is non sense in Africa.Hizo project nchi nyingine watoto ndio wanacheza nazo.Hakuna viwanda wala innovation research center.Sana sana unakuwa fundi mitambo wa TTCl ,TBC,VODA basi hakuna innovation ya maana utakayoifanya. Wenzeyu wanahangaika kuunda quantum satellite, quantum computer sisi tunahangaika na amplifier.Wenzetu wanahangaika kuvumbua magari ya umeme sisi tupo na viptoject vidovidogo.Tutachwa mbali sana tusipoangalia.Anzisheni project kubwa bila woga, msiogope.Hizo amplifier project tuwaachie la saba jamani, mnisamehe siwabezi.
Ni aibu hatuna vijana wanaoshughulika na kudesign Robot, Engine nk.Tunaashindwa hata kuanzisha project za kuunda engine za pikipiki? Tuamke tuamke!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom