Circuit ya amplifire kubwa hii hapa, it is so simple to build

Dah me impressed sana,,mkuu wewe mkali sie wengne huku electronics iligoma ingia kabisa kichwani hata ile ya kufaulia tu mtihani hatukuisomaga ,, so Big Up sanahh at least we umeisoma alafu waielewa achana na hawa mafundi wetu wa mtaan ambao kila kifaa cha electronics hata kama capacitor wao wanaiita AC..
BiG Up
Plz share more of ur projects me interested sanahh
 
My self I have idea on preparing radio transmitters, Inverter which does not use battery and which use battery. ,Strong amplifiers and all sensors you want which have any features you want. Sorry kingereza najifunza. Let's share ideas if your interested.I LOVE ELECTRONIC but I didn't go study for it due to economic condition.
Unawezs kunitengenezea ya watts 2500 bei tutaongea XOXOQY
 
GHARAMA ZA VIFAA KIBONGO BONGO ZIKO HIVI
1.Transformer ya ukubwa huo=50000

2.Power transistor 1=2500 kama utaweka 10x10=2500x20 =50000 upate 1000 Wattage
au kama utataka uweke power transistor 6x6=12x2500=30000 upate 700 Wattage
3.Heat Resistor moja 500.idadi yake inategemeana na idadi za power transistor

4.Capacitor kubwa za kwenye Bridge zinatakiwa 4 moja ni 5000 ambazo

5.Vifaa vya Oscilator si chini ya elfu 30000

6.Housing yake si chini ya 20000

7.Finishing(Rangi,nobs,conector,cables,volumes)30000
Roughly unatakiwa uwe na minimum ya kiasi cha Laki mbili na nusu hivi kwa ajili ya vifaa tu.

Gharama ya usukaji ni 50% ya material cost!

As you see it is very cheap but it has wonderful performance.Sababu mchina sub-woofer ile kubwa kabisa ambayo sauti yake huwa inasumbua hadi majirani ni ya watt 300 tu na anauza laki mbili na nusu;now imagine wewe una kuwa na watt 1000 kwa gharama hiyo tu!

Kitaalam amplifier hii at maximum power usage yaani 1000 watt itakuwa hivi

*Output voltage katika speaker ya 4 ohms itapeleka volt 63.2455Vv(kiasi ambacho bulb ya umeme itawaka kama waya za speaker zitaungwa kwenye taa hiyo)
*Na amplifire ita-drain about 15Amps from the transformer(Ingawa imewekewa fuse ya ampere 10A ili kama ampere zitazidi 10A fuse ikate kulinda speaker zisiungue)

Hivyo kwa ukubwa huu ni kwa ajiri ya out door au big theater!Lakini kama unataka utumie kwa sauti yake maximum nyumbani au gheto utahamishwa na mwenye nyumba kwani hii inatoka realy 1000 wattage ambayo ni sawa na watt 5000 ya amplifier ya mchina!

Na kama utasuka halafu uwe unatumia kwa sauti ndogo bora ununue sub-woofer tu!
Kwanini msitengeneze products mkaanza kuuza? tumechoshwa na wachina huku majumbani...kitu unanunua alafu baada ya wiki unakuta kimeungua!

Ngoja niweke mambo sawa nitawatafuta tuone jinsi ya kuunga mkono tanzania ya viwanda!!
 
Njoo, PM nipatie namb yako for future use BROO
Circuit hii sijai-design mimi niliipata kwenye mtandao,nikaisuka!

Imeandikwa watt 600 lakini Kama utaweka power transistor 10x2 utapata the realy 1000wattage of it!

Nimeisuka ipo powa sana,the sound is great.

It may blow out the roof of your room if you can dare to touch the maximum of its volume!

Hakikisha una speaker kubwa ndio usuke Amplifier hii.

POWER AMP.

View attachment 138995

NILIYO SUKA MIMI

View attachment 138996

POWER SUPPLY YAKE
View attachment 138997
POWER SUPPLY NILIYO ISUKA MIMI

View attachment 138999

Usiogope kuitengeneza ipo powa sana;it is so simple but it has wonderful result.Do IT Yourself now!

Tembelea website HII kwa maelezo zaidi

Kazi kwenu wana electronics.Cheers!

Kama kuna maswali yeyote ya kitaalamu zaidi naomba mum-PM huyu jamaa transistor yeye ndo amenisapoti kwa asilimia 100% kwani na mimi najifunza tu kama nyinyi.

BUT;take care guyz this is high voltage divice the voltage my reach 90 DC voltage enough to stop your heart beat if you work it wrong!Mafundi wa ukweli they are always care!

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
 
GHARAMA ZA VIFAA KIBONGO BONGO ZIKO HIVI
1.Transformer ya ukubwa huo=50000

2.Power transistor 1=2500 kama utaweka 10x10=2500x20 =50000 upate 1000 Wattage
au kama utataka uweke power transistor 6x6=12x2500=30000 upate 700 Wattage
3.Heat Resistor moja 500.idadi yake inategemeana na idadi za power transistor

4.Capacitor kubwa za kwenye Bridge zinatakiwa 4 moja ni 5000 ambazo

5.Vifaa vya Oscilator si chini ya elfu 30000

6.Housing yake si chini ya 20000

7.Finishing(Rangi,nobs,conector,cables,volumes)30000
Roughly unatakiwa uwe na minimum ya kiasi cha Laki mbili na nusu hivi kwa ajili ya vifaa tu.

Gharama ya usukaji ni 50% ya material cost!

As you see it is very cheap but it has wonderful performance.Sababu mchina sub-woofer ile kubwa kabisa ambayo sauti yake huwa inasumbua hadi majirani ni ya watt 300 tu na anauza laki mbili na nusu;now imagine wewe una kuwa na watt 1000 kwa gharama hiyo tu!

Kitaalam amplifier hii at maximum power usage yaani 1000 watt itakuwa hivi

*Output voltage katika speaker ya 4 ohms itapeleka volt 63.2455Vv(kiasi ambacho bulb ya umeme itawaka kama waya za speaker zitaungwa kwenye taa hiyo)
*Na amplifire ita-drain about 15Amps from the transformer(Ingawa imewekewa fuse ya ampere 10A ili kama ampere zitazidi 10A fuse ikate kulinda speaker zisiungue)

Hivyo kwa ukubwa huu ni kwa ajiri ya out door au big theater!Lakini kama unataka utumie kwa sauti yake maximum nyumbani au gheto utahamishwa na mwenye nyumba kwani hii inatoka realy 1000 wattage ambayo ni sawa na watt 5000 ya amplifier ya mchina!

Na kama utasuka halafu uwe unatumia kwa sauti ndogo bora ununue sub-woofer tu!
GHARAMA ZA VIFAA KIBONGO BONGO ZIKO HIVI
1.Transformer ya ukubwa huo=50000

2.Power transistor 1=2500 kama utaweka 10x10=2500x20 =50000 upate 1000 Wattage
au kama utataka uweke power transistor 6x6=12x2500=30000 upate 700 Wattage
3.Heat Resistor moja 500.idadi yake inategemeana na idadi za power transistor

4.Capacitor kubwa za kwenye Bridge zinatakiwa 4 moja ni 5000 ambazo

5.Vifaa vya Oscilator si chini ya elfu 30000

6.Housing yake si chini ya 20000

7.Finishing(Rangi,nobs,conector,cables,volumes)30000
Roughly unatakiwa uwe na minimum ya kiasi cha Laki mbili na nusu hivi kwa ajili ya vifaa tu.

Gharama ya usukaji ni 50% ya material cost!

As you see it is very cheap but it has wonderful performance.Sababu mchina sub-woofer ile kubwa kabisa ambayo sauti yake huwa inasumbua hadi majirani ni ya watt 300 tu na anauza laki mbili na nusu;now imagine wewe una kuwa na watt 1000 kwa gharama hiyo tu!

Kitaalam amplifier hii at maximum power usage yaani 1000 watt itakuwa hivi

*Output voltage katika speaker ya 4 ohms itapeleka volt 63.2455Vv(kiasi ambacho bulb ya umeme itawaka kama waya za speaker zitaungwa kwenye taa hiyo)
*Na amplifire ita-drain about 15Amps from the transformer(Ingawa imewekewa fuse ya ampere 10A ili kama ampere zitazidi 10A fuse ikate kulinda speaker zisiungue)

Hivyo kwa ukubwa huu ni kwa ajiri ya out door au big theater!Lakini kama unataka utumie kwa sauti yake maximum nyumbani au gheto utahamishwa na mwenye nyumba kwani hii inatoka realy 1000 wattage ambayo ni sawa na watt 5000 ya amplifier ya mchina!

Na kama utasuka halafu uwe unatumia kwa sauti ndogo bora ununue sub-woofer tu!

hiyo amp yako output zikoje ?? how many channel does it have?? is it a monoblock amp??
to
which class is it!? class A or B or class AB??
 
Mkuu unamaanisha
Dah me impressed sana,,mkuu wewe mkali sie wengne huku electronics iligoma ingia kabisa kichwani hata ile ya kufaulia tu mtihani hatukuisomaga ,, so Big Up sanahh at least we umeisoma alafu waielewa achana na hawa mafundi wetu wa mtaan ambao kila kifaa cha electronics hata kama capacitor wao wanaiita AC..
BiG Up
Plz share more of ur projects me interested sanahh
IC intergreted circuit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GHARAMA ZA VIFAA KIBONGO BONGO ZIKO HIVI
1.Transformer ya ukubwa huo=50000

2.Power transistor 1=2500 kama utaweka 10x10=2500x20 =50000 upate 1000 Wattage
au kama utataka uweke power transistor 6x6=12x2500=30000 upate 700 Wattage
3.Heat Resistor moja 500.idadi yake inategemeana na idadi za power transistor

4.Capacitor kubwa za kwenye Bridge zinatakiwa 4 moja ni 5000 ambazo

5.Vifaa vya Oscilator si chini ya elfu 30000

6.Housing yake si chini ya 20000

7.Finishing(Rangi,nobs,conector,cables,volumes)30000
Roughly unatakiwa uwe na minimum ya kiasi cha Laki mbili na nusu hivi kwa ajili ya vifaa tu.

Gharama ya usukaji ni 50% ya material cost!

As you see it is very cheap but it has wonderful performance.Sababu mchina sub-woofer ile kubwa kabisa ambayo sauti yake huwa inasumbua hadi majirani ni ya watt 300 tu na anauza laki mbili na nusu;now imagine wewe una kuwa na watt 1000 kwa gharama hiyo tu!

Kitaalam amplifier hii at maximum power usage yaani 1000 watt itakuwa hivi

*Output voltage katika speaker ya 4 ohms itapeleka volt 63.2455Vv(kiasi ambacho bulb ya umeme itawaka kama waya za speaker zitaungwa kwenye taa hiyo)
*Na amplifire ita-drain about 15Amps from the transformer(Ingawa imewekewa fuse ya ampere 10A ili kama ampere zitazidi 10A fuse ikate kulinda speaker zisiungue)

Hivyo kwa ukubwa huu ni kwa ajiri ya out door au big theater!Lakini kama unataka utumie kwa sauti yake maximum nyumbani au gheto utahamishwa na mwenye nyumba kwani hii inatoka realy 1000 wattage ambayo ni sawa na watt 5000 ya amplifier ya mchina!

Na kama utasuka halafu uwe unatumia kwa sauti ndogo bora ununue sub-woofer tu!
Mchina subwoofer lake kubwa ni 150watts tu. Huko 300 umempendelea sana.

Vipi hio 1000watts inapiga kuliko ile ya Sony home theatre?
 
Back
Top Bottom