Circuit & PCB designer

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
243
339
Kwa mahitaji ya circuit digital , microckntroller programming na ushauri juu ya design nione nikufanyie kazi kwa gharama nafuu kabisa huku ukipata wasaa wa kujifunza design yako.

Nta design hatua kwa hatua na wewe utajifunza moja kwa moja. Kama una project inayohusu embedded systems unahitaji programming assist nadeal na AVR, PIC & ARM archectures na ntakufanyia design kwa 70% na 30% ntakuhusisha ili upate kuielewa project yako.

Pia kama unataka PCB design karibu napatikana TABATA. Kwa mawasiliano PM.
 
Mkuu, hao watu wanaoyaelewa hayo uliyoyaandika probably wanaweza wakawa wanamudu kuyafanya hivyo wasiwe na shida nayo.

Kwanini usitushirikishe kwa lugha nyepesi hata wengine tusioelewa ili kama tukivutiwa tukuunge mkono. Nina uhakika tuko wengi zaidi ya hao uliowakusudia.

Otherwise baki na kitengo chako cha engineering huku unaongea lugha ya mashine, tafuta mtu wa masoko anayejua lugha tunayoelewa binadamu akusaidie.
 
Mkuu, hao watu wanaoyaelewa hayo uliyoyaandika probably wanaweza wakawa wanamudu kuyafanya hivyo wasiwe na shida nayo.

Kwanini usitushirikishe kwa lugha nyepesi hata wengine tusioelewa ili kama tukivutiwa tukuunge mkono. Nina uhakika tuko wengi zaidi ya hao uliowakusudia
Otherwise baki na kitengo chako cha engineering huku unaongea lugha ya mashine, tafuta mtu wa masoko anayejua lugha tunayoelewa binadamu akusaidie.
Mkuu safi sana.Nchi ya viwanda, bila hii kitu huna kiwada.
Nakutafuta haraka sana uko wapi?
 
Back
Top Bottom