Circuit and PCB design class

Candela

Member
Aug 12, 2021
77
150
Habari wadau. natoa ofa ya kuelekeza jinsi ya kudesign sakiti za kielectronic kwa wenye uhitaji. Gharama ni sawa na bure. 20000 tu kwa mwezi na ntafundisha kwa njia ya group, TELEGRAM na WHATSAPP.

KUMBUKA: Hiyo gharama ni ndogo sana ukilinganisha na elimu unayopata. Najitolea kuhakikisha wabunifu wa sakiti wanaongezeka na sio kila siku walewale.

Anaetaka kujiunga atume dm ntampa group link. Darasa linaanza jumatatu.

WASIFU WANGU KWA UFUPI.
  • BSc in Engineering.
  • Advanced electronics
  • Embedded firmware developer.
  • HMI systems.
Asante na karibuni kwa taarifa zaidi.
 
Folota Rubber Stamp

Senior Member
Feb 21, 2018
134
225
Mkishamaliza darasa la PCB, mnicheki kwa ajili ya vifaa vya PCB.

Zipo:
copper clad
Heat transfer paper
na vinginevyo

Nilikua natengeneza PCBs nimeacha nauza mazaga zaga ya kutengenezea, software zote bure.
 
Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,376
2,000
Habari wadau. natoa ofa ya kuelekeza jinsi ya kudesign sakiti za kielectronic kwa wenye uhitaji. Gharama ni sawa na bure. 20000 tu kwa mwezi na ntafundisha kwa njia ya group, TELEGRAM na WHATSAPP.

KUMBUKA: Hiyo gharama ni ndogo sana ukilinganisha na elimu unayopata. Najitolea kuhakikisha wabunifu wa sakiti wanaongezeka na sio kila siku walewale.

Anaetaka kujiunga atume dm ntampa group link. Darasa linaanza jumatatu.

WASIFU WANGU KWA UFUPI.
  • BSc in Engineering.
  • Advanced electronics
  • Embedded firmware developer.
  • HMI systems.
Asante na karibuni kwa taarifa zaidi.
Mkuu kutokana na wasifu wako naomba usolve hili tatizo, kuna nokia lumia 630, tatizo lake ni Air plain mood haitoki, na ukiiplace ili kuitoa huishia kucheza cheza matokeo yake simu inachemka baada ya dakika kumi simu inatulia ikiwa kwenye air plane mood. Shida ni nini mkuu, je tunaweza kusolve tatizo.
nishazunguka kwa mafundi wa mikoani wameshindwa, wengine waliishia kuniambia saket yake imekufa, ila jambo la kushangaza simu inatumika kwa matumizo yote isipokuwa upande wa simu kuonyesha minala
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom