CIA - Zanzibar: The 100 days' Revolution (Intelligence Study) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CIA - Zanzibar: The 100 days' Revolution (Intelligence Study)

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Revolutionist, Feb 27, 2012.

 1. Revolutionist

  Revolutionist Senior Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,440
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ungeifungua ili watu wanaotumia simu waweze kuisoma na wao.
   
 3. a

  alikhalef JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  umepata wapi this file?
   
 4. d

  dav22 JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  document ndefu kidogo ngoja tuisome alafu tuje na comments hapa
   
 5. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  mhh nimeishia page ya hamsini nitaendelea kesho, document ina kuelewesha mengi kuhusu zanzibar na siasa zake, yaani funga bla,bla!
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Data hizi nilishazisoma siku nyingi kidogo, nadhani mara ya kwanza nilisoma habari hizi mwak 1984 wakati ule Mwinyi anachukua kiti kutoka kwa Jumbe. Baadhi yetu wengu huwa tunapiga ushabiki bila kujua ukweli, nadhani document hili litawafungua watu wengi akili ya kujua tulikotokea kama Jamhuri ya Muungano.
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 11,355
  Likes Received: 2,745
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kichuguu,hii ni taarifa rasmi kabisa,serikali yetu imewahi kuitolea tamko?
   
Loading...