CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,251
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
 
Wewe unasemaje?
 
Tanzania is one of the world's poorest economies in terms of per capita income, but has achieved high growth rates based on its vast natural resource wealth and tourism. GDP growth in 2009-15 was an impressive 6-7% per year. Dar es Salaam used fiscal stimulus measures and easier monetary policies to lessen the impact of the global recession. Tanzania has largely completed its transition to a market economy, though the government retains a presence in sectors such as telecommunications, banking, energy, and mining.
The economy depends on agriculture, which accounts for more than one-quarter of GDP, provides 85% of exports, and employs about 80% of the work force; agriculture accounts for 7% of government expenditures. All land in Tanzania is owned by the government, which can lease land for up to 99 years. Proposed reforms to allow for land ownership, particularly foreign land ownership, remain unpopular.
 
Pwani Muslim wengi na Bara Christian ni wengi haswa mambo ya ndoa ni ya kienyeji kwa zaidi so huoa wake wengi na watoto lukuki so kitakwimu Christian ni wengi Muslim waliongezeka sababu walizaliana kwa Wingi na pia kuoa wake zaidi ya mmoja kuliwaongeza idadi yao...
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
Jamaa hawakosei, itakuwa ni kweli.
 
Hao CIA si ndo walisema Saddam ana silaha za maangamizi Wakati siyo kweli!. Hao ni wa kupuuza tu, ni lini wamefanya sensa nchini?

Tungeweza kujua ukweli kama serikali ingekubali takwa la masheikh la kuweka kipengele cha dini za watu ktk sensa!

Hizi speculation za aina hii ndiyo maana Masheikh wakataka kukatwa mzizi wa fitina, kiwekwe kipengele cha dini za watu, ukweli ujulikane!
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
Nilipotoa data hizi katika mada iliyopita. Wengine walikubaliana nami, na wengine walipinga tu na maneno kibao.
Hizo basi ndo data SAHIHI.Zile zile nilizowaambia!
 
Uchochezi huu. Inasaidia nini takwimu hizi za waamini wa dini za kigeni? Wanataka kugawa vitabu vya dini hizi? Wameanza kutuchokonoa, gesi!gesi!gesi!
 
Back
Top Bottom