CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

Mods, mimi nimeanzisha uzi "Muuwaji wa BOB MARLEY huyu hapa" katika International Forum.
Lakini mmeuunganisha uzi unaokwenda kwa "CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa kitandani" ambao umeanzishwa na Anonymousafrica mkasema nimeuanzisha mimi mkaihamishia kwenye jukwaa la Celebrities.

Kuweka kumbukumbu sawa: Sina ID mbili.
Anonymousafrica ametafsiri uzi wa kwanza ambapo ni jambo jema maana kuna member aliomba translation tool.

Ila kwanini mmeubadili heading uzi wangu?
 
Times change. Hongera sana. That is a big step...look well after them and the mangi
They do sana.

From wild weekends spitting fire to early bedtimes...

Loud music is now senseless, little voices calling out 'Mama' is now music to me.

Will do. Take care of your too. Nice to see you around again.
 
...To just say fake news without proof of the fact is useless
Huo mtandao unafahamika kwa kutoa taarifa za uongo na za kupikwa... ukitaka ushahidi wa taarifa kama hizi muulize Gabriel Zakaria wa tbc walimsimamisha kazi miezi mitatu
 
Marekani ukichunguza ni Taifa linaloongozwa na shetani kupitia mawakala wake mbalimbali e. g. freemasons, etc. Ndiyo Taifa analotumia shetani kutekeleza mpango wake wa New World Order.
 
Watz! Ati 'fake news'! Mwanaume kakutafutia news unasema ni fake, can you prove its fakeness?
 
Ila mie naamini hii story, wazungu hatari sana aise, chunguza ya kina Lumumba, Che, Qaddafi, Saddam Hussein, yule wa Misri, Mandela alikoswa koswa (bahati), na wengineo..Wazungu ni katili mno...

Yah...sisemi kwamba napigana na yaliyoandikwa, ila kwa hii story kwa mujibu wa moja ya gazeti la mtandaoni la Jamaicaempire, hii story si kweli. Ni story ambayo haipatikani hata kwenye media house za kuaminika. Iko hivi, Bob Marley ana mashabiki mamilioni across the globe, sasa itokee story kama hii, maana yake ni news kubwa sana. Na media siku zote habari kwao inamaanisha pesa. Sasa haiwezekani BBC, CNN, SKY NEWS, BILLBOARD, etc wakae kimya yaani wasilete habari kama hii wakati ni pesa.
 
Watz! Ati 'fake news'! Mwanaume kakutafutia news unasema ni fake, can you prove its fakeness?

Tatizo lako wewe ni mvivu wa kusoma. Unataka utafuniwe na kumezewa. Mimi nimekwambia fake news kwa kukuletea link inayosema hii ni fake news. Ungesoma kwanza yanayopatikana kwenye hii link nadhani usingesema hayo. Jamani, ndiyo maana TAWALA wanatudanganya kwa sababu ya uvivu wetu. Narudia tena, according to link hii, this is fake news: Cia Agent Confesses On Deathbed: ‘I Killed Bob Marley’ | Your News On Time!
Fungua na usome. Bob Marley ana fans/mashabiki mamilioni duniani kote, sasa ikitokea story ya kweli kuhusua yeye, media house kubwa kwa vyovyote vile huwa zina-report kwa sababu story ya Bob Marley ni story kubwa na ni pesa kwa sababu ya kuwa na mamilioni ya mashabiki across the globe.
 
Since childhood yrs I was just told Bob Marley died of cancer on his right leg at 36 age, i never knew if it was a caused cancer, never knew that the man had his life cut short by Americans, May God have mercy on you (Marley)., according to Mr Oxley CIA kills whoever seems to represent a threat over goals of the agency, I'm now starting to believe the claims that America is Satanic and it's the one that boost terroristic activities across the world....RIP Marley (freedom fighter)
Amerika ndio wafadhili wa hizo mambo
 
Sasa haiwezekani BBC, CNN, SKY NEWS, BILLBOARD, etc wakae kimya yaani wasilete habari kama hii wakati ni pesa.
cnn.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom