Home: Geneva of Africa
Mama -chagga, baba Mngoni
Unataka kutuambia mixture hii=kumtamani uncle?
it has happened naturally
Yeye mwenyewe huning'ang'ania nimsindikize huku na kule jioni so tuna AGAPE KUBWA
mchungaji tueshimianeSikujua kama Malaria Sugu ni Uncle wako wa damu!
mchungaji tueshimiane
ntatafuta kanisa jingine incase
Ni bora nitembee kwa miguu kutoka mwenge to posta kuliko kupanda daladala mmoja na Malaria Sugu.
I will choose to live only 2 years rather than kuishi 10years ghorofa mmoja na Malaria Sugu
pls mchungaji tuheshimianeSikujua kama Malaria Sugu ni Uncle wako wa damu!
Ndiyo zinazo kuvutia...! Unamtamani uncle wako...! Na ili halikubaliki kwani kuwa Baba Mngoni na Mama mchaga alikufanyi umtamani mjomba wako.
utani mwingine utadhania kwelihahahahaa, so ulivosikia wanasema binamu nyama ya hamu nawe ukataka uanzishe yako ya 'uncle damu tamu' eeh?
my uncle doesnt sound like thisMimi mjomba wako nitahuzunika sana kama unanipenda kwa ajili ya kufanya mapenzi na mimi! Hiyo ni laana kubwa sana. Kama unavyofahamu niko single, so si vibaya nikipata contacts za marafiki zako maana mke si kitu kibaya.
Mungu akubariki
sijalalamika nawapasha tu wana jf isije ikawa mwingine yuko kama mimiKwa lengo la hii thredi yako ni malalamiko ya agape iliyo kati yako na mjombako........
Huenda MS anahitaji penzi lako!
my uncle doesnt sound like this
sijalalamika nawapasha tu wana jf isije ikawa mwingine yuko kama mimi
kidogo, kidogo unaanza kunitukanadoes he sound like this?
Haya tukutane hoteli tufanye mapenzi?
Au nakupenda kimapenzi pia?
Au mtoto mzuri umeumbika?
Kumbuka ni Engineer, domo zege, MchaMungu,,,,
Ok...binafsi sijapashika.....
he should get dead and gone! no way bora ningekufa bikra
mh! halafu unajisifia una b/f unayemuheshimu huku unamnyemelea mjomba wako duh UNAHITAJI MAOMBI YA NGUVU SAAANA.
Ooohh kumbe haipo!!