Chupi kwa kina dada- tuijadili...

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?
 
Wewe Kalagesye unadhani chupi kwa akina dada ni ya nini? Je akina kaka hawavai chupi? Je wakiivaa au kutoivaa utajua? Je kina kaka wakiivaa vibaya hawaweziambiwa wamekaa uchi? Je unadhani kuna umuhimu gani kuvaa au kutoivaa chupi?

Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'hujavaa chupi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?
 
Wewe Kalagesye unadhani chupi kwa akina dada ni ya nini? Je akina kaka hawavai chupi? Je wakiivaa au kutoivaa utajua? Je kina kaka wakiivaa vibaya hawaweziambiwa wamekaa uchi? Je unadhani kuna umuhimu gani kuvaa au kutoivaa chupi?

Mkuu Father of All umenifurahisha sana kwa hilo jina la Kalagesye,nakumbuka mbali sana, BTW nadhani hii ingewekwa kule chit chat ingefaa zaidi. Ni mtazamo tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe Kalagesye unadhani chupi kwa akina dada ni ya nini? Je akina kaka hawavai chupi? Je wakiivaa au kutoivaa utajua? Je kina kaka wakiivaa vibaya hawaweziambiwa wamekaa uchi? Je unadhani kuna umuhimu gani kuvaa au kutoivaa chupi?

Kama hujui umuhimu wa chupi kwa mwanaume, your name should be 'mother of all' with immediate effect!!!
 
chipi bwana ni kama ile karatasi inayotumiwa kufungia present ...so bwana ina umuhimu ili mlegwa tuu ndio apate ku unwarap that beautiful present....ila kwa kuwa sasa wanawake wanaigaawa kama karanga basi chupi kwao haina maana tena
 
Mi siujui ndo maana nimeanzisha mdahalo, nisaidie weye mtoto riziki uanyejua basi.

Hii ni ya Chit Chat.

Ina maana na kulala kote hili ndio jambo umeona utoke nalo asubuhi?

Unajua kimaadili ya kiafrica Chupi haistahili kuonekana hadharani. Na sijui kama ulishawahi kusikia kile kisa cha mtoto wa kike alikua anapanda mti, Lakini kwakua alikua hataki chupi yake ionekane wakati anapanda mti uli, ilibidi aivue na kuificha ndio apande ule mti.

Kwahiyo mwanamke Chupi ikionekana haina tofauti na kukaa uchi.

Chupi ni muhimu kuvaa kusitiri mwili.
 
Chupi ina umuhimu kama huujui muulize mwanamke wako,dada yako au mama yako!!...sie wengine ungetuachaaa..
 
chipi bwana ni kama ile karatasi inayotumiwa kufungia present ...so bwana ina umuhimu ili mlegwa tuu ndio apate ku unwarap that beautiful present....ila kwa kuwa sasa wanawake wanaigaawa kama karanga basi chupi kwao haina maana tena
Sasa mbona hata wale ambao hawajaanza kugawa hiyo zawadi wanavaa tu? hata vitoto vidogo?
 
Hii ni ya Chit Chat.

Ina maana na kulala kote hili ndio jambo umeona utoke nalo asubuhi?

Unajua kimaadili ya kiafrica Chupi haistahili kuonekana hadharani. Na sijui kama ulishawahi kusikia kile kisa cha mtoto wa kike alikua anapanda mti, Lakini kwakua alikua hataki chupi yake ionekane wakati anapanda mti uli, ilibidi aivue na kuificha ndio apande ule mti.

Kwahiyo mwanamke Chupi ikionekana haina tofauti na kukaa uchi.

Chupi ni muhimu kuvaa kusitiri mwili.

Huu ni mtandao kaka, uki assume kuwa mimi hapa nilipo ndo naamka kama wewe utakua umekosea! Umesema hapo juu chupi inasitiri mwili?? I dont think this is right coz mwanamke akivaa chupi akatinga kitaa watu watafunga kamba na kumpeleka hospitali ya vichaa!
 
Mmh! Dada zetu bhana.. Zamani ilikuwa ukitaka kuona **** unafunua chupi kwanza ndio uone. Ila siku hizi ukitaka kuona chupi unafunua **** ndo uione.. So matumizi ya chupi yameshabadilika.
 
yeah wewe umepatia
 
Haya ndio maadhara ya likizo ndefu asubuhi yote hii mnajadili chupi tutakatishana nia ya kuzivaa huku mtu amepiga kata k na mnavyojua makalio yetu yalivyo pauka.
 
:A S angry:
Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom