Chupa ya Safari imebadilishwa lebo bila kutujulisha nani anachezea hii nembo

folota

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
251
160
Vitu vya maana haviungwi mkono huku jaribu ujinga utawaona wengi umejaribu kusema ukweli sana mkuu nilienda TBS watu wanasema mifuko ya plastic imezuiliwa nikaenda nemki nikapewa na chapisho walilopewa tbs miezi mitatu kwamba aina hiyo ya kifungashio imeruhusiwa nikajiuliza hawa watu hapa ofisini wanafanya nini cjapata jibu
IMG_20191109_130554.jpeg
 
Huko nnje hii bia wanasema ni feki wanataka ile ya nembo ya zamani tbl tujulisheni kuna nini mbona zamani mkitaka kufanya mabadiliko mzungu anakuja kufanya tafiti kwanza kwa wateja imekuwaje au ni dharau rudini mtaani mtuambie nani karuhusu mbadili nembo.
 
Vitu vya maana haviungwi mkono huku jaribu ujinga utawaona wengi umejaribu kusema ukweli sana mkuu nilienda TBS watu wanasema mifuko ya plastic imezuiliwa nikaenda nemki nikapewa na chapisho walilopewa tbs miezi mitatu kwamba aina hiyo ya kifungashio imeruhusiwa nikajiuliza hawa watu hapa ofisini wanafanya nini cjapata jibu View attachment 1258439
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanamibia wamekuja juzi wanatupita na sisi tupo toka enzi ya mwalimu tunasuasua maboresho tunayataka kama ukishatumia chupa tupa,kuondoa hangover kwenye hii bia sio kuchezea nembo hii ni brand pekee tunayojivunia watz ukisema safari ni Tanzania pekee duniani na ina medali ya dhahabu
 
Back
Top Bottom