Chupi za wadada zenye mfuko kwa mbele ni maalum kwa kuweka nini?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,287
Nimeona wadada zaidi ya wanne wamevaa hzo chupi (tembelea ufukweni).

Sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu?

Nielewesheni jamani
 
Kukiwekwa kitu si kitaharibika!! mana kile kipochi manyoya huwa kinatema heat la hatari!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom