Chuo kipya cha Diploma & Certificate ya Pharmacy na bora chenye usajili wa NACTE

Darcityconfidential

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
351
367
Nobo College of Pharmacy (NACTE Registration number REG/HAS/192P). Tupo Tabata Kisukulu. Tunatoa kozi ya Pharmacy katika ngazi ya Certificate na Diploma ( NTA level 4-6). Vigezo ni kuwa na minimum alama D katika masomo ya Biology, Chemistry, Physics na D zingine mbili za masomo yoyote. Udahili wa mwaka wa masomo 2019/2020 unaendelea. Kwa mawasiliano zaidi tupigie; Makangila Mwidunda 0625667710, Nicholous Mbilinyi 0712601461 au Michael Mbasha +255 714 247 476, Freddy Meela +255 754 858 636. Asante.
IMG-20190809-WA0005.jpeg
IMG-20190809-WA0006.jpeg
IMG-20190809-WA0007.jpeg
IMG-20190809-WA0008.jpeg
 
Back
Top Bottom