Chuo kipi kizuri kwa ajili ya kozi ya famasia?

billah

New Member
Dec 3, 2016
4
1
Wakuu naombeni mnijuze kuhusu chuo kizuri kwa ajili ya kozi ya famasia na gharama zake.

Pia napenda kujua kazi za mfamasia hapa Tanzania.
 
Kama unazungumzia level ya shahada tuna Muhimbili na Bugando

Ada zake tafuta kitabu cha TCU
 
Mambo yako laboratory! MD utaishia kuhangaika na part time kwenye hospitali za watu baada ya saa za kazi! Ni gharama sana MD kujiajiri! Pharmacy inafuatia kwa uzuri baada ya laboratory japo kazi yake haina hadhi sana maana mbele ya jamii pharmacist ni muuza madawa japo ni nzuri kwa urahisi wa kujiajiri
 
njoo Kilimanjaro School of Pharmacy-KCMC ndo the best kwasasa nitafte nkupe details nasoma hapo mie, ila jua pharmacy ipo marketable kinoma yaan
 
Mambo yako laboratory! MD utaishia kuhangaika na part time kwenye hospitali za watu baada ya saa za kazi! Ni gharama sana MD kujiajiri! Pharmacy inafuatia kwa uzuri baada ya laboratory japo kazi yake haina hadhi sana maana mbele ya jamii pharmacist ni muuza madawa japo ni nzuri kwa urahisi wa kujiajiri

Hebu niambie uzuri wa Medical Lab over Pharmacy..tusifike huko kwa MD,just pharmacy then nitajua una uelewa kiasi gani wa fani za afya
 
Back
Top Bottom