Chuo kinachotoa project mgt course

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
11
wajameni,naomba mniambie chuo kinachotoa course inayo jitegemea ya project manaement kwa mtindo wa evening classes na iwe ni kati ya miezi mitatu hadi mwaka,kiwe kinajulikana na kiwe hapahapa bongo-dar es salaam.nahitaji hii kozi na kwa vile nabananishwa na mambo ya ofisi nahitaji nisome after office hours.pia niambiwe ni aina gani ya cheti kinachotolewa baada ya kumaliza.
 
Wacheki UDSM hapo mkuu. Nakumbuka kule Engineering wanayo hiyo course for postgrads. Au jaribu pale Business School pia.
 
iwe inajitegemea,sio part ya msululu wa masomo.
Sasa kwani umeambiwaje? Nenda ulikoelekezwa ukaone kama ndio course unayoitaka au la uje uanze kutuambia. Don't be too demanding while people are showing you the way.
 
Sasa kwani umeambiwaje? Nenda ulikoelekezwa ukaone kama ndio course unayoitaka au la uje uanze kutuambia. Don't be too demanding while people are showing you the way.

mpe ukweli wake; anauliza njia na kujifanya kujua vituo!
 
Sasa kwani umeambiwaje? Nenda ulikoelekezwa ukaone kama ndio course unayoitaka au la uje uanze kutuambia. Don't be too demanding while people are showing you the way.

Lakini naona hakuwa wrong ku narrow search yake, kwa sababu kwanza alikuwa amepata jibu moja tu, kutoka kwa mwanamarundi. wengine wote walikuwa hawajamwalekeza bado maana hawakuwa na uhakika kama yeye ambavyo hakuwa na uhakika maana anajua kuna university zote hizo na kwenda kujaribu angeweza kwenda lakini anataka ku serve time kwamba asiende kujaribu bali aende mahali ambapo ana uhakika kwamba ninachokitafuta kipo. kwa mfano mwanamarundi ana uhakika kasema Mzumbe uni. period !! nimependa jibu lake. lakini nenda kacheck, kajaribu, labda hayo hayakuwa yanatosheleza. nasema yote kwa sababu even me i am interested to know.
 
Back
Top Bottom