Chuo Kikuu SAUT

shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
501
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
501 250
Samahani jaman eti kuna uwezekano wa kubadilisha coz na kama kuna uwezekano utaratibu unakuaje afu pia hii coz ya public relation and marketing inahusu nn na vp upande wa ajira
 
-mseto_

-mseto_

Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
55
Points
95
-mseto_

-mseto_

Member
Joined Jul 30, 2017
55 95
Kubadil kozi inawezekana ila inasumbua unawez usifanikishe kwan inabidi uwe na strong reasons za kubadil
Barua itatumwa tcu wakat unasubir majibu unaendelea kusoma uliyochaguliw, majib yanaweza kurud no
Pia inasumbuag kidogo kwenye mkopo
 
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
501
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
501 250
Kubadil kozi inawezekana ila inasumbua unawez usifanikishe kwan inabidi uwe na strong reasons za kubadil
Barua itatumwa tcu wakat unasubir majibu unaendelea kusoma uliyochaguliw, majib yanaweza kurud no
Pia inasumbuag kidogo kwenye mkopo
Mmh
 
Yoel G Mbaruku

Yoel G Mbaruku

Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
81
Points
125
Yoel G Mbaruku

Yoel G Mbaruku

Member
Joined Jul 27, 2019
81 125
Naenda kusoma course ya Bachelor of Art on Public Relation and Marketing at Saut?
Ningependa kujuzwa ajira za kozi
 
thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
1,036
Points
2,000
thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
1,036 2,000
Kubadilisha programme inategemeana na pass zako lakini pia na nafasi katika programme unayotaka kuhamia, lakini pia huwa ni rahisi zaidi kama unataka kuhama programme moja kwenda nyingine kama zipo katika college/faculty moja Ila kama zipo tofauti huwa inachukua muda kidogo, unachotakiwa kufanya ni kureport Chuoni then nenda office ya Dean of student au department ya hiyo programme uliyochaguliwa utapata maelezo zaidi....

ILA JIANDAYE KWA HAYA YAFUATAYO
1) Ikitokea programme unayotaka kuhamia ina ada tofauti na ya mwanzo ambayo ulichaguliwa mkopo wako kubadilisha itachukua muda sana kama utakuwa umepata mkopo
2) Ikitokea ada sawa lakini kuna zile allowance kama special faculty zinatofautiana hii nayo pia tatizo
3) Kuna wengine huwa mikopo yao huwa inacheleweshwa Mara baada ya kuhama kutoka programme moja kwenda nyingine hasa pale baada ya kumaliza mwaka wa kwanza maana taarifa zao wakati mwingine vyuo huwa wanachelewa kupeleka kwa wakati.
3) Kama utafanya transfer kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine ujue ujiandaye kusota mwaka wa kwanza mzima bila kupokea boom wala ada...So vijana kabla ya kufanya maamuzi mtambue na changamoto zake

KAMA NIMEKOSEA SEHEMU ANAYEWEZA KUSAHIHISHA RUKSA MAANA HAYA MAMBO NILIYASHUHUDIA 5YRS BACK WAKATI NAANZA FIRST YEAR!! SO SIJUI KWA SASA KAMA HAYA MAMBO YAMEBIRESHWA AU NDO VILE VILE
 
thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
1,036
Points
2,000
thomas_360

thomas_360

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
1,036 2,000
Samahani jaman eti kuna uwezekano wa kubadilisha coz na kama kuna uwezekano utaratibu unakuaje afu pia hii coz ya public relation and marketing inahusu nn na vp upande wa ajira
Kuhusu programme hiyo inahusu nn sina jibu Ila cha kukusaidia ingia google andika hiyo programme utapata taarifa zote muhimu am sure!! Kuhusu swala la Ajira ni Janga la Taifa so hata science degree holders wengi wanasota mtaani ingawa enzi tunasoma tulikuwa tunaaminishwa kuwa ukisoma science mbeleni ajira bwelele...nowadays ni bahati nasibu kama vile uwanja wa kubeti tu...Chamsingi we soma pata maarifa tumia hayo maarifa kupambana na maisha ya mbeleni...ukipata vijisent vya hapa na pale unaweza ukafungua hata genge na ukawa unaingiza pesa kuliko kulala bure bila kuingiza hata sh. 100
 
spartacus boy

spartacus boy

Senior Member
Joined
Aug 5, 2019
Messages
169
Points
225
spartacus boy

spartacus boy

Senior Member
Joined Aug 5, 2019
169 225
karibuni maadogo mtanikuta geti la njano nawapokea ukifika tu ulizia spartacus ni nani jua ndio mm
 
medyzo

medyzo

Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
87
Points
95
medyzo

medyzo

Member
Joined Dec 5, 2013
87 95
System ya kukaa Hostel, ni Lazima kukaa hostel za ndani kwa mwaka wa kwanza wote. Pengineee ya tokee maajabu tuuu... Hataaa hivoo kuna Dubwanaaa mojaaa linamaliziwa ni kama ghorofa 3 hiviii.. ko lazmaa mtaaa jazwa tuu muleee. Na kujaaaa siyooo rahisiii By The Way Usiogopeee Ukifika utajua kila kituu Mdogo anguuu.
Hostel system ipoje?
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,330
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,330 2,000
Miye ngoja niimbe kale ka wimbo nikisikia dogo anaimba akija likizo eti PR,PR, PR mwili mzima PR, PR, PR, mwili mzima
 
Yoel G Mbaruku

Yoel G Mbaruku

Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
81
Points
125
Yoel G Mbaruku

Yoel G Mbaruku

Member
Joined Jul 27, 2019
81 125
System ya kukaa Hostel, ni Lazima kukaa hostel za ndani kwa mwaka wa kwanza wote. Pengineee ya tokee maajabu tuuu... Hataaa hivoo kuna Dubwanaaa mojaaa linamaliziwa ni kama ghorofa 3 hiviii.. ko lazmaa mtaaa jazwa tuu muleee. Na kujaaaa siyooo rahisiii By The Way Usiogopeee Ukifika utajua kila kituu Mdogo anguuu.
Shukran Bro
 

Forum statistics

Threads 1,335,208
Members 512,271
Posts 32,499,184
Top