Chuo Kikuu Muhimbili chasitisha masomo kwa kukosa chakula

Maskini wanafunzi hao nawaonea huruma,wizara pia haija toa ada kwa wanafunzi wa masters na MUHAS imesema haitatoa matokeo ya mitihani yao,ni kweli serikali imejifilisi kwa kutosimamia vyema raslimali zetu na ccm ndo ukoma unaotumalizi,pengine pesa zimewekwa sehemu ya bari kusubiri kuhonga wagagagikoko wengangu kama wagagagigikoko wa arumeru kwa wameru wanavyopewa rushwa na chama cha majambazi
 
Nadhani wawe wavumilivu hata mshahara safari hii imechelewa.
Hakuna sababu ya kulikuza kwa sasa
 
Hivi hakuna mtu anayeweza kuchakachua 'fuel gauge meter' ya ndege ya Rais ili tank la mafuta likibaki robo iwe inasoma full tuondokane na hiki kiumbe jamani?

yaani hilo ni zaidi ya kumchoka let him die slowly bwana..
 
Back
Top Bottom