Chuo kikuu kipi ni bora kuliko vyote kati ya hivi Tanzania?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
1. UDSM
2. UDOM
3. SAUT
4. ST. JOHN
5. MZUMBE
6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO
7. KAMPALA I. UNIV.
8. THEOFILO KISANJI
9. IMTU
10. TUMAINI
11. ST. JOSEPH
12. MWENGE
13. ARDHI
14. DUCE
15. RUCO
16. OPEN UNIV. OF TZ (OUT)
17. SUA
18. HUBERT KAIRUKI
 
UDSM ondoa kabisa hapo, hakuna chuo cha kupambanisha nacho hapa Bongo. kipambanishe kimataifa zaidi. vinginevyo vyuo vinavyobaki Mzumbe is the best
 
Mbona cjakiona kile cha MOSHI , CCP


Bora kwa criteria gan mkuu.. Be specific kama kipi ni bora kwa kutoa vilaza, kupokea vilaza, majengo na malazi, wahadhiri na utoaji wa elimu,kipi bora kwa mademu wakali... Be specific
 
Mtoa mada ni mwenyeji wa tz kweli? Udsm tangu lini iwe kwenye list moja na vyuo uchwarwa?? Jpm ali substantiate hapo ni home kwa vipanga.
 
Back
Top Bottom