Chuo Kikuu Huria Tanzania(OUT) chashika nafasi ya 13 duniani, ya pili Afrika

Nilikuwa na Elimu ya kidato cha nne Div.four ya 31. Nilipiga foundation course Mwaka mmoja Open University na baada ya kuhitimu nilidahiliwa kusoma Bachelor degree of Human resources(BHRM).

Kwa sasa nina degree sawa tu na jamaa zangu waliofanya vizuri mitihani ya O level na A level na kuendelea na elimu ya Juu.
 
Kati ya Vyuo vikuu huria 102 duniani, Open Univ. imeshika nafasi ya 13.
Open wana mapungufu yao ila wamesaidia sana wazee waliokuwa na diploma za ualimu kujiendeleza na kupata degree zao bila kuacha kazi.
Miaka ijayo kusoma online, evening class na open university itakuwa ni kitu cha kawaida. Tutazoea tu.
 
Nilikuwa na Elimu ya kidato cha nne Div.four ya 31. Nilipiga foundation course Mwaka mmoja Open University na baada ya kuhitimu nilidahiliwa kusoma Bachelor degree of Human resources(BHRM).

Kwa sasa nina degree sawa tu na jamaa zangu waliofanya vizuri mitihani ya O level na A level na kuendelea na elimu ya Juu.
Pamoja na degree yako ya Huria/Holela bado unaangukia kwenye Class Vilaza,ref Baba Jesca.
 
Kila chio kina objectives zake. Malengo ya OUT ni sawasawa na UPE yaani Universal Primary Edecation. Kila mtu pale anaruhusuwa kudahiliwa. Vyuo vingine kama IDSM, UDOM,SUA ,MZUMBE, TUMAINI, SAUT na MIPANGO vina mwelekeo tofauti ndio maana form four hawezi kuwa admitted. Na masomo yao ni tight ukiingia kichwa kichwa semister ya kwanza tu wanakula kichwa. Aliosoma vyuo hivyo anajua. Siwapingi wala kuwa undermine waliosoma OUT lakini waje wajaribu na vyou vingine watajua utofauti uko wapi. Nilisoma master na graduate wa OUT alikuwa na GPA nzuri sana lakini kwenye presentation alikuwa anapata taabu sana. Hata research ilibidi awape watu wafanye kazi hiyo. Pengine sio wote lakini wengi wa OUT wana inferioty complex wanapokutana na waliosoma vyuo vingine.
 
Nakupinga mkuu conclusion yako imeipata kwa uyo jamaa mmoja tu mimi wakati nimemaliza form six nimewahi kukutana kwa interviews na graduate wa udsm walikua na ngeri dhaifu balaa confidence hafifi hatari ila walikua na gpa poa balaa nikalamba ajira nikaacha jamaa wanang'aa sharubu pale uporoto urisno estate ila hio haimaanishi kwamba udsm wanazalisha vilaza
 
Kina polepole kwa mjibu wa utafiti wao wanasema CCM inapendwa sana na wananchi. Do u conquer with the conclusion?
Conquer, ww itakuwa nyumbu. Sasa kwani kuhusu ccm do u need a research to prove that, bunge lina wabunge wengi toka chama gani. Nyumbu bhana
Research mnazibishia, vitu obvious mnabisha.
Sijui msaidiweje
 
Back
Top Bottom