Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

lugha haiwezi kuwa kigezo pekee cha kupima kiwango cha elimu, tofautisha intellect na education, muwe mnasoma kabla hamjaandika humu,

Usishangae hata ww hujui lugha ni nini!
Mbona huyo mhusika vyote hana sasa.
intellect hana na education pia hana
 
Prof Bee amekosea sana angempa u profesa rais magufuli amefanya mambo makubwa sana jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukilinganisha na nchi nyingine nchi yetu tumepiga hatua sana.
Yani watanzinia tumekua kama watu wa libya baada ya gadafi kufa ndio wanaona umuhimu wake
 
Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.


Hovyo kabisa
Hahaa kumbuka pia kwamba licha ya kupeana hizo honours kama ukivyoziita bado wananchi waliunga mkono na waliosimama kuwaambia ukweli walionekana hohehahe!

Labda nikuambie kitu kuhusu hiki kitabu, ukisoma kwa umakini hichi kitabu utagundua ya kwamba M.A Nanga si tu ni kiongozi asiyejua afanyalo maana jamaa hajui hata maana ya book exhibition na utamaduni ni nini!

Rais Magufuli si kama Nanga kwani hana unangaism, he is "an enemy of the people " na kwa sababu the compact majorities are wrong and most of them are fools ndio mana binafsi Magufuli ni sawa na Dr Stockman!!

Tatizo ni baadhi ya watu kuwa "fools" Magufuli hawamuelewa kwa sababu hiyo,
 
Kwa hiyo sasa hivi ataitwa Drs.maana sasa hivi ni Dr,ameongezwa tena udakitali yaana Dr + Dr =Drs. mbona kwa wenzetu wazungu hakunaga vitu kama hivyo,au maraisi wa huko siyo wabunifu kama wa kwetu?
 
Kuna kitabu cha literature nilisoma kinaitwa A MAN OF THE PEOPLE. Humo unakutatana na genge la viongozi ktk kitaifa flani wanapeana HONOURS za kijinga jinga na masifa kibao.Sasa nayaona live zama hizi.


Hovyo kabisa

Brilliant Chinua Achebe (marehemu). Aliiona hatma ya nchi za kiafrika mapema miaka ya 60 mwanzoni - kama ilivyotokea Nigeria tangu awali na kama inavyotokea hapa kwetu leo hii. Maisha ni full-kujikomba na kulamba viatu vya watawala. Maendeleo yamebakia kuwa porojo. Matumizi (miamala) inafanyika gizani. Ukweli ni mhanga nambari wani.
 
Back
Top Bottom