Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

Ameona afiche aibu yake ya PhD feki kwa kupewa huo uchafu.

Baada ya uzinduzi wa kitabu cha yule mstaafu wa Lupaso. Akakaa nae akamuomba yeye kama mkuu wa chuo cha kata afanye mpango wa kumpa phd ya mezani ili kuua so la phd feki

RIP Ben Saanane
Hapo kwenye chuo kikuu cha kata. Subiri povu
 
Hivi mbona Marekani viongozi wao huwa hawatumii Dr au Prof au mheshimiwa. Wanaitwa kavu tu.
Wamarekani wa silka tofauti, unaweza mkuta mtu anamwita rais kwa jina la kwanza, mfano Barak, Donald au Bill, na hakuna shida. Hapa kwetu unaweza ukawekwa ndani.
 
"" ujenzi wa uchumi wa viwanda. ""
How,vikwapi..km viko kwenye process wanawahi nn kumpa "tunzo"
Tuwaamini wasomi wetu, bila shaka wakati wa kumtunuku, watatueleza upembuzi yakinifu wao umethibitisha kuna viwanda vingapi, huko wapi, vinalisukuma aje gurudumu la maendeleo la nchi yetu, hadi kutoa hiyo shahada kwa mbunifu wetu.
 
Binafsi nimefurahishwa sana na wosia wa Rais Magufuli kwa vijana wa Tanzania kwamba Bure ni gharama.

Kauli hii ni ya kutia moyo sana maana vijana wengi walishajisahau na kuanza kutegemea miteremko. Soma kwa bidii ili uje uifurahie degree yako kwa sababu degree ya kuisotea inanoga.

Mungu mbariki Rais Magufuli

Mungu ibariki Tanzania!
 
Makaika Mkuu King Field Marshall Dr. Pombe Jiwe Ngosha Magufuli Conquer of the Tanzania Empire.
Hii itakuwa imekaa vizuri
wampe PHD na uprofessa kabisa, na speech zake ndio best, za mkapa na kikwete , mwalimu na mwinyi haziingii kwa JIwe kabisa.
 
Sasa atakua na phd mbili lakini kiingereza kinampita kushoto maajabu ya tz hayaishi

Kwani amekwambia ana shahada za lugha hadi aongee vizuri lugha ya malkia?

Na bado atatunukiwa na nyingine nyingi hadi atakuwa msomi wa digrii 8 😂😂😂
 
"Uchumi wa viwanda key word "

Mungu anaona ha ha ha Africa ..Tz is a donor country, Magufuli mwambie asimsahau na Mwijage this huge achievement
Kwi kwi kwi kwi
 
Hon
Kwani amekwambia ana shahada za lugha hadi aongee vizuri lugha ya malkia?

Na bado atatunukiwa na nyingine nyingi hadi atakuwa msomi wa digrii 8 😂😂😂
hongera sana JIWE, tafadhali uje huku Mbeya tukupatie phd ya ku-hack simu za watu
 
Back
Top Bottom