Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 399
Bado Kina Nafasi Sana!!Chuo Kikuu na Kikubwa TZ
Acha pumba kijana.no research,no right to speak,wenzako wanaojielewa wanaingia mtaani kupeleleza kwanza,hebu nenda huko kwenye field mahospitalini ukaulize products za UDOM zinachofanyaUnapoongelea kupeleza sifa huwezi kuifungia MD ya KCMC erti hajna sifa ukaiacha MD ya UDOM, ni fitna tu vyuo vya MD hapa bongo vinavyojielewa ni MUHAS ,Bugando,KCMC,IMTU,HKMU wengine fata upepo
Wewe n mmoja kati ya wengi ambao wameshakutana na impact ya product za UDOM,hebu muache nayeye atashuhudia kwa macho yake one day, its not easy to change his altitude towatd udom easlyMkuu hakuna mtu wa kuifanyia fitina taasisi nyeti kama KCMC,
Serikali haibahatishi, wana standard zao na research za kuprove ubora wa elimu.
Usilazimishe watu tuelewe kwamba serikali inapendelea vyuo.
Mm nimemuuguza ndugu yangu ktk hospital ya rufaa mbeya ambayo kwa kiasi kikubwa inahudumiwa na wanafunzi wa UDOM,
Niliona na kushuhudia utendaji wao,
Nnachoweza kusema,
Mungu awabariki sana vijana wale kwa maana wanafanya kile kilichotegemewa wafanye.
Na hawa wanaosema Udom takataka yawezekana ni vichaa wanaostahili kua ktk matibabu ya ukichaa
Hii n changamoto ya kawaida inasolvika.Hivi hujui Tanzania hii kuna vyuo watu wanapishana semister na kuwa na likizo za ajabu kwasababu ya miundombinuTatizo la UDOM sio WAALIMU Ttz liko kwenye miundombinu hasa upande wa lecture room na theatre ni chache mno au niseme ni ndogo.Ukienda COED utakuta kuna kuwa mlundikano mkubwa sana hasa kipind cha core courses. Lecture room na theatre zinakuwa ni ndogo.labda kama watabadili mfumo wa ufundishaji kwa kutumia technology kama video conference nk inaweza saidia. Na kile chuo bado hakijakamilika hata kidogo