Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,223
- 6,467
Wadau habari za Jumapili?
Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu.
Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa.
Saivi ni chuo cha pili kwa kudahili wanafunzi wengi nchini baada ya UDOM.
Swali: Wanafunzi 14 wa kwanza kabisa wa chuo hiki walikuwa wakina nani? Unaweza kutaja baadhi Kama wafahamu na nafasi walizokuja kutumikia serikalini.
Naamini JF ni kisima cha Elimu na Maarifa.
Asanteni kwa ushirikiano wenu.