Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

Kweli humu ndani kiingereza ni shida jamani! Sasa ‘recture’ ndiyo takataka gani jamani! Unaweza kujaambiwa aliyeandika huu utipolo kamaliza Chuo Kikuu! Sasa mtu kama huyu kuna haja ya kumuajiri kuwa hata mpishi kweli? Halafu Warioba anaandikwa ‘ Walioba’! Maajabu!
Wahitimu wa vyuo vya kata.Hata Warioba wanaandika Walioba.Atakuwa TID huyu,mnyama ,Top in Dar
 
Nyie ndiyo lile lile kundi la vyuo vikuu vya Kata! Wallah kwa elimu hii na mnachopost ni bora mfanye kazi ya kuendesha bodaboda tu! Hakuna wa kuajiri watu wa aina yenu maana hizo ofisi zitajaa madudu tupu!
Kajifunze kuandika kwanza kabla ya kukosoa watu waliokosea.....

Useless kabsa....

Unafikiri kila aliye humu kafika chuo?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndiyo lile lile kundi la vyuo vikuu vya Kata! Wallah kwa elimu hii na mnachopost ni bora mfanye kazi ya kuendesha bodaboda tu! Hakuna wa kuajiri watu wa aina yenu maana hizo ofisi zitajaa madudu tupu!
Joined date Feb 2021.
Tumia ID yako au jifunze kuishi humu bila mihemko....

Unakua kama corona ya Polepole....
Screenshot_2021-03-30-07-57-04-70_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani unakusudia mark bomani, Paul alikuwa kaka, na Mark alisoma nje si Tanganyika

Haya matusi unayotoa ni dhahiri umri wako ni mdogo haya ahsante mimi bwege

Kwa sababu hujui kitu, kama kweli Julie Manning hakuwahi kuwa waziri wa sheria basi una shida kubwa tena kubwa sana kichwani!
 
Nonsense, kwakweli we ni katoto huenda hata 28 hujavuka comments zako ni za kijukuu kabisa

Julie Catherine Manning was a Tanzanian lawyer, judge and politician. The first Tanzanian woman to study law, she was a High Court judge before serving as Minister of Justice from 1975 to 1983.

Julie Manning
High Court judge
Incumbent
Assumed office
1973
Life

References

Last edited 11 months ago by Liverpoolpics
RELATED ARTICLES
Kalpana Rawal
Kenyan judge
Tujilane Chizumila
Malawian lawyer and jurist
Augustine Saidi

Content is available under CC BY-SA 3.0 unless otherwise noted.
Privacy policy Terms of Use Desktop
 
We kijana unajibizana nae hapa ni sawa na baba yako, hayo maelezo ya Wikipedia nimachache zaidi ya ninayoyafahamu, mpumzishe huyo mama ni kweli ni mwanamke wa kwanza katika Taaluma ya sheria Tanganyika lakini ujaji wake una mashaka huko katika A G nimekwisha toka mtoto huelewi
 
Back
Top Bottom