Chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha muhimbili-muhas tunahitaji tawi la chadema please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha muhimbili-muhas tunahitaji tawi la chadema please

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ecolizer baba, Mar 23, 2011.

 1. e

  ecolizer baba Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 40
  Wakuu habari? Hili ni ombi maalum kwa uongozi wote wa CHADEMA na wanamageuzi wote.Kama mnanisikia please njooni mtufungulie tawi huku chuoni vijana wana hamu ya kupata kadi za chama na kuwa wanachama kamili.Naomba kuwasilisha.
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wazo zuri...! PIA BILA KUSAHAU DUKA LA MAGWANDA YA UKOMBOZI!
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Tunakuja kuwashika hapo varsity kaeni mkao mzuri.Saa ya ukombozi wa Tanganyika ni sasa
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mbona tawi lipo hapo muhimbili karibu na geti la kutokea ndani?cha kufanya wasiliana na huyo mzee kwa maelezo zaidi..
   
 5. e

  ecolizer baba Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 40
  Shukrani sana wana-ukombozi lakini pamoja na kwamba tawi lipo hapa upanga ingekuwa fresh kama nasi tungekuwa na katawi ketu huku ndani ya chuo kama ilivyo kwa vyuo vingine kwani msimamizi wa hili tawi la upanga magharibi hatumjui.Kilichopo ni kuwa na organization yetu wenyewe hapa MUHAS kwani vijana wana hamu ya kuwa na umoja wao humu humu ndani.So njooni mapema saa ya ukombozi ni sasa.
   
 6. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Otherwise Tembelea Ofisi za CHADEMA Pale Kinondoni ili upate utaratibu wa kuanzisha Tawi
   
Loading...