Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

Akiwa chuo chochote asome kwa bidii aki focus sana course za CPA ili kumrahisishia kazi kwenye professional exams hiyo ndo dawa.ndugu ulimwengu wa sasa hata huko ulaya uhasibu bila professional qualification is nothing,mimi nipo sokoni for a while now,sokoni kijana ataulizwa ana CPA au amefikia level gani ya CPA?

Chenge - udsm

karamagi- udsm

Kikwete- Udsm

Lowasa-Udsm

6- Udsm

Idi Simba-Udsm

Mkono- udsm

Mchango wao kwa taifa ?

Nakushauri uangalie na Mambo mengine.

Ha!?, ina maana mchango wa hawa waheshiwa huufahamu?! Mbona hata watoto wadogo wa kidato cha sita wanautambua uwepo wa hao majamaa?

duh!!kilimo!!

Kinachokushangaza nini?kwa kuwa chuo ni cha kilimo initials hizo za agri zinakuwepo ila maudhui ya masomo ni economics and business kama hiyo unayoipigia debe ya UDSM and maybe more

Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo bora kwa masomo ya Uhasibu au Biashara). Kwa vigezo rahisi vya popularity x 'quality' nimepata vyuo 3 - UDSM, Mzumbe na IFM. Naomba mwongozo kuhusu ubora (just views/ simple ranking). Naomba kuwakilisha.

Hakuna Chuo quality wala nini siku hizi ni shag'alabagala tu,zamani ndio na vilikuwa katika mfumo huu hapa
1.IFM -Banking,Insurancemanagement,Tax management ,accountancy na social Security
2.Mzumbe-Procurement,Public admin.
3.UDSM-Academic professional.
4.CBE-Marketing na Metrology
5.TAA- Government Accountacy
6.Social development- hivi vilikuwapo vidogo vidogo sehemu nyingi
7.kivukoni-Politics
8.Fishing-vilikuwapo ziwa victoria na Bagamoyo nakumbuka ni Mbegani.
9.Ufundi ambavyo vilikuwapo DSM,Tanga,Moshi,Arusha na Mbeya.
10.Ardhi-upimaji na uchoraji wa Ramani.
Vyuo vilianzishwa kwa sababu maalum kwa ajili ya kuwatayarisha watanzania ili kuchukua nafasi za wageni katika fani husika na ndipo kila chuo kilikuwa na ubora katika mitaala yake.Na ukiangalia mpaka leo hii unaweza kuona mfano viongozi wa Taasisi za fedha kama nilivyosema hapo juu utaona asilimia kubwa walitoka IFM.ma RAS,DAS au administrators wa Serikali na mashirika wengi walitoka Mzumbe na kadhalika.

Na pia nakumbuka kila chuo kilikuwa kiko chini ya wizara husika isipokuwa UDSM ndio kilikuwa chini ya ELIMU,baadae Elimu ya Juu.

Kinachokushangaza nini?kwa kuwa chuo ni cha kilimo initials hizo za agri zinakuwepo ila maudhui ya masomo ni economics and business kama hiyo unayoipigia debe ya UDSM and maybe more

bt knachozungumziwa hapo ni accountancy.

bt knachozungumziwa hapo ni accountancy.

Accounts ipo kidogo sana ila kama kweli anataka kujua zaidi atembelee www.suanet.ac.tz aangalie Bsc Agriculture Economics and Agribusiness kama atauweza muziki akaombe fomu ajaze kama sifa anazo za kujiunga SUA nikiwa na maana awe na credit pia asiwe na "F" ya hesabu form IV

dah!ila sua cmshauri m2,elimu yao na wastan wao mgumu sana.

Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo bora kwa masomo ya Uhasibu au Biashara). Kwa vigezo rahisi vya popularity x 'quality' nimepata vyuo 3 - UDSM, Mzumbe na IFM. Naomba mwongozo kuhusu ubora (just views/ simple ranking). Naomba kuwakilisha.

inategemea anamrejesha toka wapi....
kama huko atokapo alisoma kwa style ya "spoon feeding" ...akirudishwa kwenye elimu ngungu ya tanzania itabidi kiukweli ajikaze
pia mabadiliko ya mazingira yanaweza kumtatiza, I will advice aende Zanzibar University (wapo serious na elimu hawa watu) ..2nd aende mzumbe,

dah!ila sua cmshauri m2,elimu yao na wastan wao mgumu sana.

Ha ha ha ha ha ha ha, nacheka sana mkuu ni namna mtu utakavyojiweka katika mazingira yale shule si ngumu woga wako tu,karibu

Ha ha ha ha ha ha ha, nacheka sana mkuu ni namna mtu utakavyojiweka katika mazingira yale shule si ngumu woga wako tu,karibu

ka ud 2 wananshka,sua c ndo ntadisco.

Kama swali hili wangeulizwa ACCA,naamini wangekushauri umpeleke mzumbe. Ndio chuo kikuu pekee hapa tz ambacho wahitimu wake katika fani ya uhasibu wanapata exemptions nyingi wanapotaka kufanya professional exams. Sitaki kuamini kwamba na wao walikurupuka katika kuamua kukitambua mzumbe na kuacha udsm, ifm etc. Mind you mtu mwenye ACCA haitaji kufanya mtihani wowote kama atataka kujiregister na NBAA kuwa CPA(T),lakini mtu mwenye CPA(T) hawezi kupewa ACCA bila kwanza kufanya baadhi ya mitihani.

Hata hivyo mimi kwa mtizamo wangu mzumbe, UDSM,ifm vyote mwanafunzi anaweza kuexcel vizuri tu kutegemeana na juhudi yake. Nawafahamu watu wengi tu wazuri waliohitimu kutoka katika hivyo vyuo na kwa kweli wanafanya vizuri tu katika fani zao. Kama mpwao yupo fit, naamini chuo chochote kati ya hvyo ukimpeleka atafanikiwa tu.

Mbona unachanganya maada,kwani vyuo vikuu viko vingapi ?chuo kikuu kipo kimoja tu udsm na sasa udom hivyo vingine sio vyuo vikuu.wewe nenda mlimani kasome acha kujichanganya.

Ahaa vyuo vikuu viko viwili tu Tanzania au ? unaangalia majengo au unamanisha nin i hapo sijaelewa

ka ud 2 wananshka,sua c ndo ntadisco.

Basi shule yenu haiko tight kama ilivyokua yetu,wewe tu muoga mbona watu tumepiga GPA za 3.8 na kuendelea na ni ishu simpo,mpe moyo dogo aje ajiunge, hatajutia nafsi yake

UDSM usimpeleke huko manake pale umebaki utumbo tu hamna chuo siku hz kutwa nzima wanafunzi wanahangaika kuiba mitihani sasa kuna nini hapo? UDSM imebaki makapi tu mpeleke Mzumbe au IFM na sio UDSM Urojo tu.

hyo udsm unayoizungumzia ni ya bongo au ya china,mana china napo kuna udsm!

hyo udsm unayoizungumzia ni ya bongo au ya china,mana china napo kuna udsm!

mkuu unaonekana ni mdau wa kutetea haki za wanaoiponda UDSM,ukimaliza itabidi hata wakupe uTUTORIAL maana una uzalendo na hicho chuo as if wewe ndo DVC

Back
Top Bottom