Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa chuo gani Tanzania kiko vizuri kiutendaji na kiufundishaji, Naomba majibu yenu.
Andika tu jina la chuo
mkuu bongo hakuna chuo kizuri.
Kwahy mkuu ulienda kote huku tz ukakosa elimu uliyokua unataka au uliamua tu kuongeza elimu nje? Ulienda mwaka ganimkuu me nilikuwa mlimani wakanila kichwa kulingana na elimu yao ya kihuni, then nkaenda udom nikawa siwaelewi... now nipo Tallin Estonia.
Kitaaolojia. . ebana eeh! Hakuna chuo kizuri kama kitaaolojia
vyoteWakubwa chuo gani Tanzania kiko vizuri kiutendaji na kiufundishaji, Naomba majibu yenu.
Andika tu jina la chuo
Kisa cha kuliwa kichwa UDSM ni kipi?mkuu me elimu ya bongo ilikuwa kizungumkuti kwangu, baada ya kumaliza form vi nikapata udahili mlimani but unfortunately wakanila kichwa tena kwa mambo ambayo sikutegemea kabisa, mwanaume nikajikaza nikawa mpole nikaaply udom wakanidahili koz moja ya geologia nikasoma mwaka mmoja but ufundishaji wao na namna wanavyomtreat mwanafunzi wa chuo kikuu ukawa si wa kiungwana... nikaona nikiendelea kusoma pale nitapoteza mda wangu na wataniondolea na confidence pia nikasepa for good will.. nikaja huku ambapo kidogo wanamheshimu na kumvalue mwanafunzi na pia elimu ipo kwa ajili ya kukupa mwanga tofauti na huko nyumbani wanapokuondolea hata uwezo wa kujiamini maana wakufunzi hawataki hata uwaulize swali na wakikujibu wanaweka na vijembe juu. shit!