CHUO GANI TANZANIA KIKO VZR

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wakubwa chuo gani Tanzania kiko vizuri kiutendaji na kiufundishaji, Naomba majibu yenu.
Andika tu jina la chuo
 
mkuu me nilikuwa mlimani wakanila kichwa kulingana na elimu yao ya kihuni, then nkaenda udom nikawa siwaelewi... now nipo Tallin Estonia.
Kwahy mkuu ulienda kote huku tz ukakosa elimu uliyokua unataka au uliamua tu kuongeza elimu nje? Ulienda mwaka gani
 
mkuu me elimu ya bongo ilikuwa kizungumkuti kwangu, baada ya kumaliza form vi nikapata udahili mlimani but unfortunately wakanila kichwa tena kwa mambo ambayo sikutegemea kabisa, mwanaume nikajikaza nikawa mpole nikaaply udom wakanidahili koz moja ya geologia nikasoma mwaka mmoja but ufundishaji wao na namna wanavyomtreat mwanafunzi wa chuo kikuu ukawa si wa kiungwana... nikaona nikiendelea kusoma pale nitapoteza mda wangu na wataniondolea na confidence pia nikasepa for good will.. nikaja huku ambapo kidogo wanamheshimu na kumvalue mwanafunzi na pia elimu ipo kwa ajili ya kukupa mwanga tofauti na huko nyumbani wanapokuondolea hata uwezo wa kujiamini maana wakufunzi hawataki hata uwaulize swali na wakikujibu wanaweka na vijembe juu. shit!
 
wengi wanadhana kwamba ukisoma chuo fulani utakuwa mzuri zaidi na wanavipatia vyuo vyao sifa kibao lakini tangu baada ya ku graduate hakuna anachoweza kufanya kwa elimu yake na anaumia zaidi akikuta mtu kasoma kwrnye chuo ambacho yeye anakizarau anakula maisha na kufanikiwa
 
kama unaomba chuo na mkopo mwaka huu pitia hizi link kwa kiwango kikubwa zitakusaidia

step zile ambazo ni general kuomba mkopo hizi hapa pia zilitumika mwaka jana

badhi ya vigezo vya kupata mkopo ambavyo heslb huviangalia sana

minimum requirement za kujiunga na vyuo vikuu katika programme mbalimbali

list ya website za vyuo kwa ajili ya kufanya application

jinsi ya kuverify vyet rita
 
mkuu me elimu ya bongo ilikuwa kizungumkuti kwangu, baada ya kumaliza form vi nikapata udahili mlimani but unfortunately wakanila kichwa tena kwa mambo ambayo sikutegemea kabisa, mwanaume nikajikaza nikawa mpole nikaaply udom wakanidahili koz moja ya geologia nikasoma mwaka mmoja but ufundishaji wao na namna wanavyomtreat mwanafunzi wa chuo kikuu ukawa si wa kiungwana... nikaona nikiendelea kusoma pale nitapoteza mda wangu na wataniondolea na confidence pia nikasepa for good will.. nikaja huku ambapo kidogo wanamheshimu na kumvalue mwanafunzi na pia elimu ipo kwa ajili ya kukupa mwanga tofauti na huko nyumbani wanapokuondolea hata uwezo wa kujiamini maana wakufunzi hawataki hata uwaulize swali na wakikujibu wanaweka na vijembe juu. shit!
Kisa cha kuliwa kichwa UDSM ni kipi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom