Chuo gani bongo cha afya naweza soma

checkup

Member
Jun 15, 2019
13
23
Nina physics E chemistry E na biology C, naomba msaada ni course ipi naweza soma upande wa afya katika ngazi ya degree. Tafadhali naitaji msaada wa mawazo.
 
*LIST YA VYUO BORA TANZANIA 2019*

TOP UNIVERSITIES IN TANZANIA – 2019 RANKING https://michaelassenga.blogspot.com/2019/07/top-universities-in-tanzania-2019.html

*NECTA: SHULE 10 BORA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019*

TOP 10 BEST SCHOOLS NECTA FORM SIX RESULT 2018/19 https://michaelassenga.blogspot.com/2019/07/top-10-best-schools-necta-form-six.html

*TAMISEMI WAMETOA ORODHA YA WAALIMU WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI*

TAMISEMI: New Government Teachers Employment Opportunities-Additional List for 2019 https://michaelassenga.blogspot.com/2019/07/tamisemi-new-government-teachers.html

*SHARING IS CARING*
 
Nina physics E chemistry E na biology C, naomba msaada ni course ipi naweza soma upande wa afya katika ngazi ya degree. Tafadhali naitaji msaada wa mawazo.
Mkuu, we omba vyuo tu...Huwezi jua zali lako.

Hongera pia kwa ufaulu mzuri.

Usiwazingatie wadau wengine watakao kukatisha tamaa kuhusu kupata nafasi kwa vyuo fulani fulani.

Na kwa sababu vyuo vinatoa na nafasi za kuchagua zaidi ya moja, wee jaza Medicine, jaza Medical laboratory Sciences, jaza Nursing, jaza Pharmacy, chomekea na Ualimu wa Science.

Una ufaulu mzuri, hadi nasita kukushauri Diploma za Afya.

Kasome GUIDE BOOK, Kasome kozi zinazotolewa na Vyuo.

Ualimu wa Sciences usiuache (kama utakuwa na malengo sana ya kusoma Kozi za Afya hapo baadae,huu ualimu wa Sayansi utakupeleka huko bila shida

Unaweza pia kuomba "Veternary Medicine" (hapa naomba wadau wenye kujua madini ya hii wakupe).

Hongera kwa matokeo hayo, BIG UP.
 
Shukrani mkuu, msaada mkubwa sana huu
 
Kozi za afya ni kuanzia point sita..sasa wewe point sita unazo??..

Mkuu sahau kusoma degree ya afya bongo
 
Mkuu, we omba vyuo tu...Huwezi jua zali lako.

Hongera pia kwa ufaulu mzuri.

Usiwazingatie wadau wengine watakao kukatisha tamaa kuhusu kupata nafasi kwa vyuo fulani fulani.

Na kwa sababu vyuo vinatoa na nafasi za kuchagua zaidi ya moja, wee jaza Medicine, jaza Medical laboratory Sciences, jaza Nursing, jaza Pharmacy, chomekea na Ualimu wa Science.

Una ufaulu mzuri, hadi nasita kukushauri Diploma za Afya.

Kasome GUIDE BOOK, Kasome kozi zinazotolewa na Vyuo.

Ualimu wa Sciences usiuache (kama utakuwa na malengo sana ya kusoma Kozi za Afya hapo baadae,huu ualimu wa Sayansi utakupeleka huko bila shida

Unaweza pia kuomba "Veternary Medicine" (hapa naomba wadau wenye kujua madini ya hii wakupe).

Hongera kwa matokeo hayo, BIG UP.
Akichomeka ualimu tuu. . .imo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom