Chuo cha ulinzi cha Taifa

Kujiunga lazima uwe mtumishi wa serikalini wa ngazi ya juu kama katibu mkuu wa wizara au mkurugenzi wa shirika la umma na kwa vyombo vya usalama lazima uwe afisa mwandamizi wa juu saa ingine nafasi hupewa makamishna tu na kwa wanajeshi ni kuanzia cheo cha kanali na brigedia jenerali. ..pamoja na sifa hizo lazima upendekezwe na mamlaka husika. ..
 
Wadau habarin na polen na majukumu napenda kujua namna ya kujiunga na chuo cha ulinzi cha Taifa ,mweny kujua naomba anifahamishe
nenda makao makuu ya jeshi watakupa utaratibu. NENDA PALE NGOME UPANGA utapewa majibu.
 
Chuo hicho haki kuhusu ndiyo maana hujui jinsi ya kujiunga kusoma hapo

Kinachowahusu wala hata hawaulizi ni kupewa tu taarifa za kujiunga kwa masomo.

Moja ya Ma lecturer wao ni Prof Lipumba kwa baadhi ya masomo sio permanent.
 
Hivyo chuo ni training security center ya miaka mingi IPO tangu miaka ya sabini na hakikuwa kinajulikana Bali kikwete ndio amekifanya kijulikane kwa kuingia makubaliano na China kwa kukijenga na kuongeza vitendea kazi pamoja na personnel ili kiwe kama chuo rasmi chenye kutunuki vyeti na sio ujuzi tu, ulifika sasa utakuta wanafunzi wa nchi mbalimbali lkn malekchara n wabongo na wachina ndani ya sare na kiraia
Karibu
 
Inakuwaje wanchi nyingine na bongo wachukue viongozi tuu?
 
Back
Top Bottom